Ameri Nkurlu wa CHADEMA ashinda udiwani akiwa Gerezani

Ameri Nkurlu wa CHADEMA ashinda udiwani akiwa Gerezani

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,933
Reaction score
133,986
Ameri Nkulu(56) aliyehukumiwa kwenda jela miezi 6,siku 2 kabla ya uchaguzi wa Oktoba. Sasa ni diwani wa kata ya Lusaka Sumbawanga.

Kada huyo bado yupo jela na ataapishwa baada ya hukumu kuisha.Kamanda alihukumiwa kwa kumkata vibao kiongozi wa CCM Kristian Kafwimbi
 
Kwanini amkate mwenzie kibao?
Sasa kama mtu analeta ujinga kwenye maslahi ya wananchi dawa ni nini? na hasa ukizingatia kwamba hata ukimpeleka polisi ni kazi bure maana polisi na yeye ni kambi moja.
 
Sasa kama mtu analeta ujinga kwenye maslahi ya wananchi dawa ni nini? na hasa ukizingatia kwamba hata ukimpeleka polisi ni kazi bure maana polisi na yeye ni kambi moja.

Na kwa nini mnalalama Makonda anapochukua hatua!
 
Hao watu Sumbawanga salute kwao. Wamenitia nguvu , halafu kijani wa Lumumba watasema ni wa Kaskazini!!
 
Huu uzi ni serious issue lkn uchangiaji wake ni kama comedian wamekutana jukwaa moja.......kwanini amkate kibao.....sababu ccm wahuni wanajifanya hii nchi yao......jibu lingine......Aliitwa demu.....Akileta dharrau unapiga tu......dah.....salute kwenu JF.
 
Kwa sababu alileta upumbavu wakati watu wanataka mabadiriko!!!!!!
 
Ni Kamanda Ameri Nkulu(56) aliyehukumiwa kwenda jela miezi 6,siku 2 kabla ya uchaguzi wa Octoba.Sasa ni diwani wa kata ya Lusaka Sumbawanga.Kamanda huyo bado yupo jela na ataapishwa baada ya hukumu kuisha.Kamanda alihukumiwa kwa kumkata vibao kiongozi wa CCM Kristian Kafwimbi

Namfahamu sana mzee Nkulu hana ujinga na masihala ktk kazi. Namkumbuka enzi za Lusaka SEc na mgomo wa wanafunzi akisingiziwa kuendesha siasa kwa walimu na wanafunzi. Big Up Homeland
 
Ni Kamanda Ameri Nkulu(56) aliyehukumiwa kwenda jela miezi 6,siku 2 kabla ya uchaguzi wa Octoba.Sasa ni diwani wa kata ya Lusaka Sumbawanga.Kamanda huyo bado yupo jela na ataapishwa baada ya hukumu kuisha.Kamanda alihukumiwa kwa kumkata vibao kiongozi wa CCM Kristian Kafwimbi

Criminal kawa diwani! Waliomchagua wapimwe akili. Halafu, kwa nn mashabiki wengi wa chadema ni wavuta bangi, wanywa gongo, bodaboda wenye asili ya ukibaka, wahuni na wauza miili yao, magaidi, na majambazi?
 
Ccm ni ukoo wa Panya.
 
LAKINI si tuliambiwa "wapigwe tuu" sasa kosa la huyu Diwali mteule lilikuwa nini wakati alikuwa anatekeleza agizo la mtoto wa mkulima?
 
Back
Top Bottom