Diwani wa Ikungi, Emmanuel Jingu (CHADEMA) atoka gerezani baada ya kulipa faini

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,506
Tukiwa na diwani Emmanuel Jackson Jingu wa kata ya Iseke baada ya kumtoa gerezani alikokuwa amehukumiwa kifungo cha miezi mitano au kulipa faini shs laki tano.

Alihukumiwa jana na leo tayari tumemtoa baada ya kulipa faini hiyo.
Diwani ndo huyu amevaa Tishet ya mistari.

Mutta L. AB
Mratibu wa kesi mkoa Singida
--
SOMA: Diwani wa Kata ya Iseke (CHADEMA) Mhe Emanuel Jingu, amehukumiwa kwenda jela miezi mitano

71fdfdf5e5cf62ee513de05155d39ff6.jpg
 
Zamu ya wanaohusika na haya mambo inakuja. Wakati ukifika hatutajali kama watakuwa ni wazee au laa maana nao wana mengi tu ya kuja kujibu mahakamani.
 
Haki imetendeka asije rudia kosa maana hakutakuwa tena na fine bali kifungo./
Kata rufaa, utashinda hawa walikuwa na amri, Court of appeal bado hakujawa influenced.
Katitit, Mwalusanya na Rugakingira walikufa na Judiciary!
 
Kwa hyo udiwani wake nao kushnei?
We naye uwa nakwangalia kila siku lakini wacha Leo nikwambie ukweli......

Kama uwezo wako ni mdogo nenda Facebook.........

Unaoneka mtoto sana au acha utoto...........

Samahani kama nimekosea ila post zako uwa nazisoma kila siku Leo nimeamua nikwambie............
 
Back
Top Bottom