"Amepita bila kupingwa"

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,197
25,517
Hii ni kauli ya kidemokrasia inayonichefua sana, hasa wakati wa uchaguzi. Hutokea wakati wa kura za maoni na uchaguzini. Ni nafasi adimu ya magamba kuchakachua na kuanza kuhesabu majimbo. Kila Jimbo lisimamishe wagombea. Hakuna anayependwa na wote. Iweje mtu asipingwe? Tuwasidie NEC kufuta kauli hii. Yawezekana
 
Back
Top Bottom