Amepata Ujumbe gani huyu?

Amepata Ujumbe gani huyu?

Kapata meseji kwenye simu yake kuwa akaunti yako imeingizwa milioni 70 muda huu.

Baada ya sekunde mbili ujumbe mwingine unaingia kuwa unatakiwa kujieleza mbele ya mkulu baada ya kuonekana umepokea fedha za mgao wa E P A
 
CtbIWiZWEAU2v4u.jpg
Ana tatizo la macho katika kusoma tuu, apimwe miwani
 
Ameambiwa kuwa miongoni mwa watakaotumbuliwa hapo na yeye yumo hivyo ajiondokee mapema ka hataki picha yake front page kesho.
 
Mkewe kwa bahati mbaya kafoward sms iliyopaswa kwenda kwa mchepuko kwake inayosomeka hivi "Kwa kipindi chote hiki cha miaka sita nimekuwa nikichepuka na wewe,nimemsaliti mume wangu kwa muda mrefu na kikubwa na watoto wale wawili japo wako ye anajua wake,naomba tuachabe tu ila maswala ya watoto yabaki siri yetu maana sasa nataka kutulia na mume wangu"[emoji23][emoji23]
 
Ametumiwa mesej na jpm kuwa yeye ni jipu kesho atatumbuliwa

#Ni mtazamo tuu
 
Muaamala no 3IU76W5CHK umepokea tsh 1000000 kutoka kwa dotto mahuki umebatirishwa:kumbukumbu no 75TrDrtt.salio lako la m pesa ni tsh230.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom