Amepata Ujauzito sijui itakuwaje?

Ndo ushakuwa Baba kijacho anza kupanga bajeti ya pampers na mahitaji mengine muhimu ya kijacho na mama mtarajiwa.

Dah hapa nilipo yaan full kuwaza...
Sijui itakuwaje??
**
:mimba:**
 
Ndo ushakuwa Baba kijacho anza kupanga bajeti ya pampers na mahitaji mengine muhimu ya kijacho na mama mtarajiwa.

Duh..., Kamoja tu nshakuwa Mdingi..!
Wee inakuingia akilini hii?

Duh sijui itakuwaje!!
:confused2:
 

Niliogopa kuonekana nna kiherehere, ila uandishi wake kama ........, daah, nanii bana.
 
Niliogopa kuonekana nna kiherehere, ila uandishi wake kama ........, daah, nanii bana.

Mimi wala sie, mawazo yako tu!
Ila Duh kashapata ujauzito sijui nifanyeje..?
**
:mimba:**
 
Ujauzito na dhambi vinaingiliana vp...!?
Mbona watu wanasema mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu.

Ila daah sijui itakuwaje...
:mimba:

Mazingira ya huyo mtoto kupatikana ndo inaweza kuwa baraka au kuwa dhambi,kwa hii case yako ni dhambi lol
 
Mkuu aliyepata mimba kifatacho ni kuilea na kujifungua,au ww unategemea nn kingine??
 
Mazingira ya huyo mtoto kupatikana ndo inaweza kuwa baraka au kuwa dhambi,kwa hii case yako ni dhambi lol

Kwaiyo na mtoto atakuwa na laana au?
Duh ila mawazo hayaishi sijui hatima yake itakuwajee?
 
Kwaiyo na mtoto atakuwa na laana au?
Duh ila mawazo hayaishi sijui hatima yake itakuwajee?

Ndio anazaliwa na dhambi ya.asili automatically,ila kwa ushauri wangu bana wee vuna baba ulichopanda
 
Mkuu aliyepata mimba kifatacho ni kuilea na kujifungua,au ww unategemea nn kingine??

Ni kweli lakin usemacho...
Maana naona anajiandaa wiki ijayo aanze Clinic.

Ila inanifanya nakuwa na mawazo kweli!
sijui itakuwajeee?

**
:mimba:**
 
Haaaah
Haaaah
Haaaah
Ila wewe! Nani? Skeleton? BTW mzima wewe?

Mi mzima

Hapa nilipo nawaza sijui itakuwa vp maana...:confused2:
Kapata ujauzito Mh!!

**:mimba:**
 
Ndio anazaliwa na dhambi ya.asili automatically,ila kwa ushauri wangu bana wee vuna baba ulichopanda

Mbona kwa ninavyojua mimi hata kwa aliyezaliwa ndani ya ndoa anakuwa na dhambi ya asili...!
Au labda nitakuwa shallow in Deep kwenye maswala ya imani katoliki?

Ila Duh hapa itabidi nitafute kitu cha kuniondolea stress maana sijui itakuwaje.
Kashaibeba tayari Duh..!!!

**:mimba:**
 
Naona skeleton hapa kavaa kama mkandarasi ha ha ha, mi mzima

Nafkiri nitakuwa nimefanana na mtu flani...!

Ila tuache masihara madame, ndo kashaibeba ivo sijui ntafanyeje mimi Duh!
Embu jaribu kunitoa stress ndugu maana ntachizi mda si mrefu.
**:mimba:**
 

Yeye anakua na dhambi plus,mana anazaliwa nje ya ndoa ata daudi alisema katika zab 51:5 TAZAMA MIMI NALIUMBWA KATIKA HALI YA UOVU,MAMA YANGU ALINICHUKUA MIMBA HATIANI

Sa unategemea nini apo na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…