Duh huyo labda asome kadiploma au aende hapo VETA akapate kaujuzi hata ka kuanzisha kiwanda cha vyerehani..Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.
Kupata degree moja kwa moja hapa nchini haiwezekani kwani TCU wanataka lazima uwe na point 4 kwa masomo mawili. Hivyo huyu afanye Diploma au asome Foundation ya Open University kwa mwaka mmoja akifaulu ndio achukue degree au arudie mtihani wa form 6 masomo yote 3. Kwa nje ya nchi acheck na watalaam kama Global Education Link (google utapata contact zao).Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.
Nje ya nchi mkuu hawacomplicate hata std 7 ukiisupport unaendaKupata degree moja kwa moja hapa nchini haiwezekani kwani TCU wanataka lazima uwe na point 4 kwa masomo mawili. Hivyo huyu afanye Diploma au asome Foundation ya Open University kwa mwaka mmoja akifaulu ndio achukue degree au arudie mtihani wa form 6 masomo yote 3. Kwa nje ya nchi acheck na watalaam kama Global Education Link (google utapata contact zao).
Anapata mwambie afanye application vyuo ambavyo havina ushindani sana.Msaada ndugu zangu kuna dogo wangu ana matokeo haya Phy-E Chem-D Bio-D anaweza kupata chuo kijana kama huyu?
Halafu programme gani za degree anaweza kupata kirahisi.
Naomba majibu wadau.
Huyu hawezi kupata, tena HGL?Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu kwa anayefahamu utaratibu wa sasa tafadhali.