Ameondoka na bikra yake

Ameondoka na bikra yake

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
Maisha yangu sijawahi kusikia hili jambo. Nipo kwenye msiba hapa kwa mama moja. She was born 1949 na kuondoka majuzi. She is my neighbor, tokea nimfahamu huyu mama nyumbani kwake hakujawahi kupikwa chakula, yeye ni hotelini tu.
hajawahi hata kuwa na boyfriend kha!!!!????
Wataalam wanasema kapimwa maza kaenda bila kuguswa!

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kumbe mtu akifa wanapima hilo?

Sijui kama wanapima mkuu, ila nipo hapa kwenye msiba ndiyo hiyo nimeisikia.
Inawezekana kati ya maradhi yaliyokuwa yanamsumbua ilisababishwa kupimwa kila kitu.....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
It's a big loss!
Hapo wa kulaumiwa si yeye!
Wakulaumiwa ni wanaume, kutokuula mzigo mpaka umeondoka intackt!
Ni hasara kubwa sana hiyo Mungi!
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio unatakiwa kutumia akili yako kukagua cha kukisema na kukizungumza

Sio kila unalolisikia lazima ulibebe likajadiliwe mbele ya hadhira ya watu

Hamna hata heshima kwa watu waliokwisha tangulia, tena watu wazima umri wa kuwazaa na kuwajukuu?
 
Tunazungumzia jinsi alivyomwaminifu kwa Mungu mpaka ameondoka na bikra yake.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tunazungumzia jinsi alivyomwaminifu kwa Mungu mpaka ameondoka na bikra yake.
Ni ukosefu wa mantiki tu kutuletea hapa jina na kazi ya mtu aliyekufa ukaunganisha na hali yake ya ubikira

Kwanza, hamna hata heshima ya kuelewa kwamba kama aliishi maisha yake yote kwa kujistiri kwa ajili ya Mungu, mnachokifanya hapa ni kumvua nguo akishakuwa amekufa

Na walau basi mngelikuwa hata na hakika na mnachokisema, ni story tu za vijiweni

Unachokifanya hapa ni kutaka mama huyo avuliwe nguo akiwa keshakufa kwa wewe kujihusisha yasiyo kuhusu
 
Mkuu Gaijin kimsingi upo sahihi!
Nimekuelewa kwa mapana yake.
Otherwise mletamada nae ni binadamu, ambavyo kukosea jambo kumo maumbileni mwetu!
Aidha kumstua alichoki announce si jambo jema ndy ubinadamu wenyewe.
Na aliyekosea apaswa kukiri kukosea! Either na ku apology, si ujinga hata kidogo! Sanasana ni kipimo cha busara na ukomavu wa fikra.
Pasingekua na mention ya proper names za muhusika atlist upepo ungekua shwari.
Pendekezo probably mtoa mada angeondoa majina halisi ama akaweka bandia.
 
Last edited by a moderator:
Tunazungumzia jinsi alivyomwaminifu kwa Mungu mpaka ameondoka na bikra yake.

Mungi
Kuondoka na bikira si kigezo tosha kuwa alikuwa muaminifu.

Je mlimpima na mlango wa nyuma kama ulikuwa "LOCKED"??.

NB:
Kwa huo umri wake kufa pasipo kutoa tunda la uhuru, kunaacha maswali mengi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa umri wake, ni hasara kubwa sana! Sijui wanaume walikuwa wapi!?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ni ukosefu wa mantiki tu kutuletea hapa jina na kazi ya mtu aliyekufa ukaunganisha na hali yake ya ubikira

Kwanza, hamna hata heshima ya kuelewa kwamba kama aliishi maisha yake yote kwa kujistiri kwa ajili ya Mungu, mnachokifanya hapa ni kumvua nguo akishakuwa amekufa

Na walau basi mngelikuwa hata na hakika na mnachokisema, ni story tu za vijiweni

Unachokifanya hapa ni kutaka mama huyo avuliwe nguo akiwa keshakufa kwa wewe kujihusisha yasiyo kuhusu
im i missing somethin mbona sijaona jina au imekuwa edited
 
Lazima wa moshuary wailambe. si unajua kile kisa cha muhudumu wa hiyo nyumba aliwahi kudai kwa ndugu wa marehemu kuwa alidu na ndugu yao akampa mimba wakat alisha rest in pis
 
Kiongozi concious mind, ukiona huoni jina it means mleta mada amesikia tulichomshauri kuondoa.
Nimsifu Mungi kwa usikivu, uungwana, alioufanya once aliposhtuliwa akachukua hatua! Hivyo ndivyo wanaume tutakiwavyo tuwe.
Wisedom is deep understandin and realization of pipo, things, events, or situations, resultin in the ability to apply perceptions!
Aidha a wiseman know how to use his knowledge to make a good decision.
 
Last edited by a moderator:
Mungi
Kuondoka na bikira si kigezo tosha kuwa alikuwa muaminifu.

Je mlimpima na mlango wa nyuma kama ulikuwa "LOCKED"??.

NB:
Kwa huo umri wake kufa pasipo kutoa tunda la uhuru, kunaacha maswali mengi.

labda alikuwa ni sister, posibo.
 
It's a big loss!
Hapo wa kulaumiwa si yeye!
Wakulaumiwa ni wanaume, kutokuula mzigo mpaka umeondoka intackt!
Ni hasara kubwa sana hiyo Mungi!

Hahahahahahaaaaaa
Hasa jirani yake marehemu ( Mungi )
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Lazima wa moshuary wailambe. si unajua kile kisa cha muhudumu wa hiyo nyumba aliwahi kudai kwa ndugu wa marehemu kuwa alidu na ndugu yao akampa mimba wakat alisha rest in pis
Mamndenyi njoo basi niitoe ya kwako faster
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaaaaa
Hasa jirani yake marehemu ( Mungi )

Mkuu wakulaumiwa na babazetu manake yeye wa miaka ile na 80s wapi na wapi?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kuna mijitu useless sana.
Anyway arip
 
Back
Top Bottom