Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,440
Nipo!! Mpe vidonge vyake.hayakuhusu! copy Mwanamalundi! upo shemeji?
Nipo!! Mpe vidonge vyake.hayakuhusu! copy Mwanamalundi! upo shemeji?
Maisha yangu sijawahi kusikia hili jambo. Nipo kwenye msiba hapa kwa mama moja. She was born 1949 na kuondoka majuzi. She is my neighbor, tokea nimfahamu huyu mama nyumbani kwake hakujawahi kupikwa chakula, yeye ni hotelini tu.
hajawahi hata kuwa na boyfriend kha!!!!????
Wataalam wanasema kapimwa maza kaenda bila kuguswa!
Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums