Ameomba msamaha

Haya nimeshamtafuna Sasa mliokuwa mnanishambulia lieni na kusaga meno nimeshaipiga aisee..
 
Naona kijana mwenzetu akienda kuaibika na baadaye kuanza kumsingizia shetani
 
Wee ni mpuuzi na uko na mawazo ya ovyo kabisa.
Mpe nauli binti arudi nyumban.
 
We mpelekee moto tu hakuna namna
usisahau Shout out kwa jamiifolams wakat unamnjinju
 
Achana na wazo la kumla Hilo sio wazo sahihi kabisa
 
Nakushauri usimt.mbe, itakucost huko mbele
 
Safi kabisa simamia misimamo yako mkuu

Kula huyo mdogo mtu
 
Umemalizia kijinga sana
 
Ndio shida ya kuoa kwenye umri mdogo.

Ungefikisha angalau miaka 30 hizo akili za kijinga na kutokuwa na koromeo usingekuwa nazo.

Ngoja ukue kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…