Njoo ww badala yake Mimi andazi we chai karibu nungaiyembe....Niamini Mimi mkuu, katika vitu hujazawadiwa ni akili,
yaani wanawake walivyojaa huku duniani mpaka wa buku bee (maoni ya wadau), ukatembee na mdogo wa mkeo unayeishi naye hapo hapo kwenye chumba kimoja na sebule..??
Hata kama akili siyo ya kutosha basi jaribu kuwa na haya, ila wanawake tuna huruma hii andazi nayo inaitwa mahali mume..!!
Kwanini umetoroka Milembe Mkuu.Sasa wakuu mi huyu nataka nimtafune kabisa maana inaonekana bwana ake ndiye alikuwa anAmpotezea dira na pia upwiru ndo unamsumbua nataka nimrudishe kwenye ufundi lakini pia nianze kumtoa upwiru vilivyo Ili asije leta za kuleta Tena.
Je takuwa nakosea au
Natamani kuna emoji flani wangeiweka kama reaction, nadhani ingekufaa sana, andazi kavu wewe..!!Njoo ww badala yake Mimi andazi we chai karibu nungaiyembe....