Amenisaliti, leo 'narevenge'

Jamaa unataka kutobao spika usisahau ky gel na kondom
 
Mkuu;
Mrejesho leta kidogo tu leo wengine kesho haturuhusiwi kufungua laptop zetu. Wekamo kapicha basi ukilila hilo ganda la muwa manake wenzio weshamvunja chupa tiyari. Usichukie, huenda weye ndo ulimvunja ubikra wake, waache wenzio nao wafurahie kuivunja chupa yake
 
Mkuu usiende kavu utapata magonjwa huyo mke wako dawa yake mimi tu
 
Mrejesho umezingua,unavyoonekana umemsamehe wewe ila unatuzuga hapa!
 
niliahidi saa sita kamili nitakuwa hapa

sasa baada ya mrejesho ningekushauri urudiane nae tu maana hutopata atakaye kupenda kama yeye tena!

ni hayo tu mTanzania mwenzangu !.
 
niliahidi saa sita kamili nitakuwa hapa

sasa baada ya mrejesho ningekushauri urudiane nae tu maana hutopata atakaye kupenda kama yeye tena!

ni hayo tu mTanzania mwenzangu !.
 
Yap! una akili wewe! dawa ya moto ni moto dadadeki...!!!!
 
Mrudien mungu wenu nyie wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…