mkuu nilikuwa namweshimu hata maiki tu hajawahi shika kumbe kuna watu wanasodomize.Kwa hiyo na wewe ulikuwa unatamani hako kamchezo ukawa unaona noma kuomba? Kama hapana sikushauri hutopata faida yeyote zaidi ya hasara na madhara makubwa kisaikoloji na kiafya pia ni uchafu uliopitiliza. Chukulia kama hiyo ni neema ya kumjua mtu uliekuwa unamwamini kumbe yeye si mwaminifu na iwe funzo kwako katika maisha yako ya mbele kuwa usiamini sana mtu yeyote especially hawa dada zetu wajanja wanjanja sana.
Revenge is not the answer and retaliation is never the solution.
Duhh, hivi huwa kinatakata mkuu??We kula kisamvu hicho ila hakikisha kimeoshwa vizuri
Ni kweli mkuu ila isiwe sababu ya wewe kujiingiza kwenye hako kamchezo kachafu maana wanasema ukigusa tu unanata huko huko na kuacha itakuwa shida hivyo utaweza jikuta unakuja kumwaribu wife kwa ajili ya mambo ya ajabu.Halafu huyo umegundua alimegwa bila hata ndom huogopi mkuu huyu ni wakumtema kabisa kina dada wanaojiheshimu wako wengi mno.mkuu nilikuwa namweshimu hata maiki tu hajawahi shika kumbe kuna watu wanasodomize.