habarini wapendwa,
mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia. leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenyr acc ya fb alikua hajalogout kipindi inazima, madudu niliyoyakuta huko kuna mwanaume ana maahusiano nayr tena inaonyesha hata kale kamchezo kabaya wanafanya kuna meseji yule mwanaume anaandika
jamaa: "kwann siku ile uliamua tufanye vile",
yeye: nilikuwa kwenye siku hatar
jamaa: si tungetumia nd.mu
yeye: nd.m sipend inaniumiza
ukicheki text hizo kuna kitu kisicho cha kawaida walifanya sasa leo nimeamua akija kuchukua laptop tutafanya hayo yote ndipo nimwache nilikuwa namweshimu kumbe wezangu wanaenda extra mile.
nimeandika kupunguza hasira nitakieni kisasi chema...