Kuna mambo ukiyafikiria vizuri, utagundua huyu dada kuiwaza nda yupo sahihi kabisa.
Kuna mambo yakitokea baadae au hata sasa yataleta milolongo isiyo na maana kabisa.
Kama mwanadamu kuna kuendelea kiuchumi na kimaisha sasa kuruhusu maendeleo yako yakukute haupo sehemu salama na sahihi ni hatari sana. Dada upo sahihi dai ndoa ila kwa akili sana
Fikiria ndio mmejenga nyumba mna biashara na mali nyingine na maendeleo pia alafu ghafla unasikia Mwamba anaoa, unajua hautaweza mzuia kabisa asioe tofauti na ukiwa tayari umeolewa.
Aise kuna upande nasimama na wewe dada, hasa ukiyawaza maisha kwenye uhalisia wake, kua vifo, maradhi, maendeleo na kadhalika.
Kila la kheri ila usilazimishe ndoa.