Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Umeogopa kuitwa hani ama kushikwa kiuno?
Yaani kila nikitafakari najikuta nafyonya, kuna watu hawana adabu eti, nanimeiweka wazi makusudï
ahahaaa acha upambe bwana....majanga kwa kwelingoja nimjibie mkuu ingawa sikuwepo, unajua approach nyingine zinachekesha sana! nahisi kilichomshanganza nivile jamaa alivyojiaminisha kuwa totoz imeishaingia laini hata bila ya kuimbisha, nadhani jamaa alivyoona totoz imempigia na imeitikia wito akajump kwenye conclusion kwamba mambo tayari....
kimbembe ni pale jamaa alipoanza kumshika shika, kumwita honey na kumwambiai aingie kwenye gari, loh! akyanani nimecheka hadi basi, utadhani naona tukio zima live!!!