The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,043
- 2,195
Haya chunga usijekufa kabla siku zako!Kwa wengine sio lazima,,kwetu Ni lazima..yaani nikimona yule mtoto naungua moyooo
Sent using Jamii Forums mobile app

Mbinu za kujiongeza ndo nataka na unajua Leo hatuandiki Tena barua.. nikitumia namba nyingne kumpigia najiona namna gani ninaenda kuwa dhaifu sana
Hilo nalo neno br,, hata hivi najiogopa nikikumbuka hili ulilosemaHaya chunga usijekufa kabla siku zako!
Nakaushaga br ila ye ndo hua ana shobo kuntext ..nikshamjibu tu ananiblock Tena.
Nakaushaga br ila ye ndo hua ana shobo kuntext ..nikshamjibu tu ananiblock Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli Sela,Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..
WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka nikipata pesa umri utakwa umeenda Sana. lkn hamna namna. UKWELI MCHUNGU ASEE KUTOKA KWAKO,,SHOBO NAACHA BR.Wewe kweli Sela,
Dogo uma shobo nyingi sana ndio maana demu kakuona boya. Mtu anakutakia usiku mwema tu tayar ushaona unapendwa na kutuma mameseji kibao I love u, miss u. Pumbavu!!! Tulia watakufuata, wewe alishakwambia hakutaki na Block alokupa ni ushahidi wa yeye kukwepa shobo zako.
Cha msingi fanya kazi upate pesa sio vijipesa, utaacha shobo na watakufuata wenyewe.
Ntaumia mwenyewe..kwa alivyoniumiza naahidi kumpata ..cmblock huyu Ni kw matumizi ya baadaeKama vp na ww mpe block aone inavyouma
Basi achana naye ya nini kujisumbuaHa ha utoto unamsumbua yeye so Mimi..mtu mzima Mimi be black starline
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..
WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa hizi,,, Ninngekwa na mapesa na mandinga angeshnasa bill hata maneno mengiHizi mambo za kufuatilia mwanamke muda mrefu sio za kizazi hiki.
Sasa hivi unaonesha wekundu zako kadhaa unabeba mtoto faster
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu mkaushie huyo. Usioneshe kujali sana. Akituma sms jibu poa au nawe pia. Short!!!!Mpaka nikipata pesa umri utakwa umeenda Sana. lkn hamna namna. UKWELI MCHUNGU ASEE KUTOKA KWAKO,,SHOBO NAACHA BR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakukubali na amekolea, ila anapokuwa na bwana wake kausha kwanza kwenye kifungo cha block si unaona akimaliza kubebika anakucheki kwani tatizo liko wapi. U-spea tairi una changamoto zake, inabidi ukae na sisi maspea tairi waandamizi tukupe uzoefu.Wadau mpo salama bila Shaka..
Miezi kadhaa nilimtokea dada fulani hivi nikamwambia namna gani nilikwa nampenda Sana. Akasema anashukuru Sana kupendwa na Mimi..Nikasema poa ,but halikwa jibu sahihi kusema hivyo. Baadae akanambia pia Hana mtu pale MZUMBE asomapo.
Mzee mzima Nikasema nimewini, isitoshe Ni mtoto mtoto kweli.
Kumchokonoa zaidi ndo akanambia atanipa jibu baada ya cku tatu,, nikasubiri wee ilipofika hyo cku akanambia eti ana mtu wake na anampenda san hawezi kumuacha.lakini eti nice na subira Pengine anaweza kunielewa..
Baada ya cku kadhaa nikakutana nae jibu likawa hilohilo..
Basi nikaridhia hakuna namna akufukuzae hakwambii toka. Kwanzia happo nikakauka c message Wala call.. lakini cku fulani fulani akawa hakosi kuntumia text GOOD NIGHT na zingine za mfanowe..
Basi mi nilikwa nikishukuru tu na kumwambia jinci gani namzimia.
Shida iko hapa, wiki ilopita alintumia text,UCKU MWEMA nikaijibu vyema ahsante kwake pia I love her..
Nikaona c vyema kumkaukia mtoto Kama yule. Nikaanza shobo ndo nikaanza shobo z's kumpigia na text,, C NDO HAPO NIKAGUNDUA AMENIBLOCK KILA MAHALI WASAP, CALL, TEXT NA KWINGINEKO.
LAKINI CHA AJABU AKITUPIA PICHA KALI WASAP ETI ANANIFUNGULIA KUTOKA BLOCK..
WADAU MNISAIDIE..HUYU DADA VIPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeelewa br..Mdogo wangu mkaushie huyo. Usioneshe kujali sana. Akituma sms jibu poa au nawe pia. Short!!!!
Kuwa jasiri usioneshe udhaifu wako lwa demu