Ameniblock kila sehemu lakini akiweka picha kali ananifungulia

Kakukubali na amekolea, ila anapokuwa na bwana wake kausha kwanza kwenye kifungo cha block si unaona akimaliza kubebika anakucheki kwani tatizo liko wapi. U-spea tairi una changamoto zake, inabidi ukae na sisi maspea tairi waandamizi tukupe uzoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa !! Maspair tairi waandamizi..duuuh kumbe kweli mwanang mi Ni spair tairi.. isingekwa hivyo hat no yangu angeshafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata mtu akublock mm kuna mdada nmemfuata pm humu eti ananiuliza ww nani nikamwambia huoni jina hapo akasema hana contacts zangu nikajisemea JF ndio imekuwa kama whtsap siku hizi...bora angenikaishia tu kuliku kunifanyia hivi.
Kaka mbn hyo Kali ila so nzito!! Sasa huyo dada umemfata umejuaje Kama mkali maanake picha za wanaweka fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom