pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Kuna bidada mmoja nilimtokea na ikawa poa akaniambia yupo single.
Alikuwa na bwana ake sasa wanazinguana sana so ameamua ku quit uhusiano wao.
Bas mzee baba nikajipigia mzigo kama mara nne hivi. Kazi kazi ukiwa nae burudani tosha ana mihemko kitandani mpaka basi.
Sasa baada ya siku kadhaa nimegundua kumbe anamwanaume wake na wanapendana sana tu.
Nikamchana akaruka maili mia.Sasa kuna siku tupo wote nikachukua simu yake ku prove. Kweli nikakuta ana mtu wake na wanagongana kama kawa.
Nikaamua kujipunguza niishi maisha yangu.
Nikawa namtupa simpigii simu wala text.Cha ajabu yeye ananiganda mpaka basi hachoki kunitafuta.
Juzi nimepita mitaa ya kwao na rafiki yangu mmoja wa kike alikuja kunitembelea so wakati namsindikiza tukakutana nae.
Akanitumia bonge la SMS kama gazeti na mitusi juu, sasa nashindwa kumuelewa anataka nini?
Jana nimeamka asubuhi nimekuta SMS zake ananiomba msamaha kwa matusi aliyonitukana. anadai ananipenda hataki nimuache.
Ananiambia yupo tayari kunipa kila ninachotaka ili tuendelee, mimi sijamjibu kitu.Na bado anaendelea kunisumbua na kunitumia SMS za mapenzi.
Nimemwambia siwezi kuendelea nae coz i'm not interested na mwanamke wa mtu but still amekuwa mbishi.
Ndipo nikamwambia nataka anipe tigo kama yupo tayari na nimemwambia hivyo nikijua atakataa na kunitukana matusi ili uwe ndo mwisho wa kunitafuta.
Lakini sasa cha ajabu ameniambia atanipa kwa sababu ananipenda. Atanipa mimi peke yangu.
Nikabaki mmh kazi ninayo jamani, jini gani huyu?