Ameniambia atanipa mimi peke yangu

Ameniambia atanipa mimi peke yangu

Endelea nae tu maana akili zenu zinakubaliana na jitahidi kuepuka kuchunguza simu yake ni hilo tu,
 
Kweli tunatamani kuoa na hatimaye kupata watoto ila vizazi vya siku hizi ni nusu mtu nusu shetani. Kiongozi umepunguza asilimia kadhaa ambazo nilikuwa nakuheshimu kutokana na Avater yako. Ukweli nilijua wewe ni Great think
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom