Ameniambia ana UKIMWI, nimpotezee?

Nimepatana na binti mrembo kanieleza kwake ni Ubaruku na huko yeye ana mashamba ya mpunga. Kwenye kumwaga sera zangu nitawale jimbo, ananiambia ana HIV.

Wakuu huyu ananikataa au anakimbia mbio ndefu anataka nimkute mbele. Nina miezi miwili sasa nafukuzia goma.
Huyo anakupima mkuu, ichape nyama to nyama wala usiwaze. Kama kashaanza kubugia NPK hana madhara huyo
 
"Umesikia mdogo wangu unaona yule jamaa pale aliekonda huwezi kuamini aliukwaa kwa kujitakia kisa kutaka mali za independent woman kwahiyo usijekupenda slope kwa hawa wanawake wa mjini...." Nurse akimuelekeza mdogo wake wa kiume aliemtembelea kazini kwake. ©2024
 
Nimepatana na binti mrembo kanieleza kwake ni Ubaruku na huko yeye ana mashamba ya mpunga. Kwenye kumwaga sera zangu nitawale jimbo, ananiambia ana HIV.

Wakuu huyu ananikataa au anakimbia mbio ndefu anataka nimkute mbele. Nina miezi miwili sasa nafukuzia goma.
Nyege zitakuua ....
 
Kwani hujui wapi ngoma inapopimwa mkacheck afya zenu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom