Ameniacha, i want to forget him. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ameniacha, i want to forget him.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kilahunja, Jul 26, 2012.

 1. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana delay kujibu msg au kutonitafuta ili nichoke autmatical then ni give up, kila mtu aendelee na maisha yake.
  Nimelia sana bt ther is nothng we kan do..kasema si kila wapendanao huishia kuwa couples. And now i want to move on, i want to forget him please help me out.
  NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  find some one with a bigger size
  trust me..you will forget him soon lol
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  i am gvn my self a break..am confused!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  tafuta threads Erotica humu usome

  zitakusaidia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Bad enough i neva even ax him for voucher or single money, instead i some times gv him money coz he is livin normal life(teacher)

  Buyin him diffrent outfits so as he luks also gud like other men.
  Loving him as honestly as ever that is what i did, BUT NOW HE WANTS ME NO MORE.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ivi wewe unao wangapi?
   
 7. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  So sorry Kilahunja,i met such a situation 6 months ago,at the beginnng it waz tough to accept but later on i considered it a part of life!!Now i want to start afresh with someone else,am 27,graduate!!Where r u?
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Karibu kwenye ulimwengu wa MAPENZI,ndio kwanza umeanza kuonja machungu yake hivyo ni suala la muda tu na utamsahau na atakuja mwingine na maisha yataendelea.
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  POLE SANA NDUGU..i know its hurts alot..bt ndo ishatokea no way out,u be beta find a way out....bt remind u it might take some time 2 forget..beta way ni kujitahid kuwa ktk mazingira eg ku hang around na best zako,usi stay alone maana utaanza kuwa na mawazo hasa ya ur ex..hope it works..
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  shukuru Mungu amekutua huo mzigo...epuka kudate vijana choka mbaya ,ambao wewe ndo unawasaidia ..hawana shukrani..trust me utapata mtu wa ukweli emotionaly na economicaly....
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  @kihalunja
  POLE SANA NDUGU..i know its hurts alot..bt ndo ishatokea no way out,u be beta find a way out....bt remind u it might take some time 2 forget..beta way ni kujitahid kuwa ktk mazingira eg ku hang around na best zako,usi stay alone maana utaanza kuwa na mawazo hasa ya ur ex..hope it works..
   
 12. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  LOVE is a two-edged sword.....you can play with it at your own risk
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ukishaona mwanaume anaweka shida zake mbele kimbia...mwanaume unamnunulia hadi chupi? angekuwa mwanaume kweli asingekuacha ...huyo sio mtu tena shukuru huo mzigo umekutoka ungejuta maishani...jaribu no mbili na tatu utakuja kuona jinsi ulivokuwa unajitesa bila sababu...
  mimi sio kwamba napenda mtu tajiri but mwanaume wa kunitegemea siwezi....nashukuru pia moyo wangu ushakufa ganzi..maana wanadai moyo mdanganyifu....
   
 14. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Pole its hard to take! I faced the same and it was towards my Final CPA(T) exam, I failed one out of Three. Yet I am looking myself in a mirror to see the truth in me.
   
 15. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Just pic the next...
  Kwa wastani wa kumi ndiye anakuwa kapo...
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  elewa mada mkuu,toa msaada na kama huna si lazima kuandika!!!
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kuwa bize na kujishughulisha. Jitahidi pia kuondoa mawazo yanayomuhusu yeye kwa kumuona ni mtu aliyekukosea, inaweza kukusaidia kuuweka moyo wako mbali na yeye. Usiharikishe kuingia kwenye mahusiano mapema, maana unaweza ukaingia pabaya na ukatendwa tena. Jipe muda wa kupumzika.
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Tatizo wanawake wengi mnaingia kwenye mpnz kichwa kichwa... Ngojeni tuwaonyeshe...
   
 19. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo moyo ukifa ganzi hauwezi kupenda tena au?
   
 20. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Smile sina la kuongeza kila ulichoandika ni sahii na ndivyo ilivyo dada 24 bado mdogo ntaku Pm nikupe darasa la waume miundombinu usithubutu hyo awe wa kwanza na wa mwisho usijali umtasahau harak afterall he was never good to you
   
Loading...