Amempa mwanae ubini wangu

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
234
183
Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana.

Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.

1628575152257.png

 
Mtoto anahitaji malezi huyo...lazma akupige mtu kati ki social science ili uendelee kutoa msaada,lkn usiache kama umeamua kujitolea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom