Amemfundisha mwenyewe sasa imekuwa balaa!

Amemfundisha mwenyewe sasa imekuwa balaa!

Pombe za kuanza kunywa ukubwani ni hatareee sana, haina tofauti na kuanza kupiga mechi za ugenini ukubwa maana inakuwa ngumu kuacha.
 
huwa zinawasaidia kustimulate, na hawachoki haraka.

Experience yangu ni kwamba wine inanifanya viungo vinachoka sana, nikiinywa tu asubuhi ninakuwa nimechoka kama niliyekuwa nimefanya kazi nzito sana usiku hata kama sijatimiza majukumu ya ndoa. Sijui kwa kina dada inakuwaje!
 
ntarudi, acha nikashtue amarula yangu. Dawa hapo ni mume kuacha pombe na kuzungumza na mkewe ajitahidi kumwongoza vyema hadi aache pombe
Nakusubiri urudi, mchango wako unahitajika bado. huyo jirani yangu jana wameleteana tifu tena. wife kaja home tilalila na jamaa aliwahi kurudi home kabla yake. mume ameamua kupumzika lager ili arekebishe makosa yake kama alivyoshauriwa na washikaji. wife kanogewa na 'wine'(cjui kama ni wine pekee au ndo changanya na Ballantine)
wewe amarula unachanganya na nn vile?
 
inabid atafute muda mwing wa kukaa na mkewe ili akitamani pombe anamkataza, kutafuta starehe nyingine. inaweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom