Amemfundisha mwenyewe sasa imekuwa balaa!

wagaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,106
Reaction score
606
Wana JF,

jirani yangu ambaye ni close friend tunaishi nae amepata masahibu naweza kusema ni ya kujitakia lakini ndo mambo ya dunia.
jamaa ni mtu wa ku socialise sana na mpenda lager mzuri tu. ana miaka 3 ktk ndoa na mtoto mmoja. Binti huyu ni lutheran safi na hakosi church kila j2. kwa kifupi wanafurahia ndoa yao.
Hivi karibuni kama miezi 4 hivi iliyopita, aliamua kumwonjesha my wife wake white wine baridi.
Binti awali alikuwa anakataa kabisa kugusa pombe. but kwa kuwa alipenda sana coy ya mume wake nyakati za jioni (labda na ka wivu ndani kidogo), alikuwa anaongozana nae hadi club/Bar. huko alipiga soda sana lkn mume alipenda mkewe achangamke kidogo wakati yy akiendelea na ulabu wake.
Siku moja mke alijaribu glass moja na akafanikiwa kuimaliza kwa shida na huku akilalama kuwa kichwa kinagonga sana.
siku zilivyozidi kwenda ikawa glass nazo zinaongezeka.
Siku zingine kama jamaa hataki afuatane nae, humtumia chupa moja ili apige akiwa home. Mume alitoa ushuhuda kabisa kuwa mke wake akipata wine anapiga mechi si ya kawaida na home kunakuwa na amani ya ajabu.

Mke akazoea kinywaji. Ikawa hapigi tena glass chache bali ni mwendo wa chupa.
sasa hivi hasubiri tena kuletewa na mume wake, bali house girl hutumwa chupa mbili na moja hufichwa ili mume asijue kuwa ameshakuwa chapombe kuliko yy mzee wa castle lite.
sasa jamaa anatoa news kuwa wife amekuwa mlevi kiasi kwamba maelewano ndani ya nyumba yamepungua. mke performance imekuwa poor na uvivu ndo umetia team home.

Jana jamaa amerudi home mapema ili kutafuta documents zake za gari ambazo alikuwa ame zi misplace pale home. katika kuchakura kwake, akakutana na chupa ya Balantine half empty imefichwa kati kati ya nguo kabatini. Baada ya kuleta timbwili kali pale, wife aka admitt kuwa ni yeye huwa anachanganya na sweet white wine. jamaa yangu alichanganyikiwa sana.

Kweli jana mshikaji alikuwa ana mawazo sana na hata kuanza kufikiria kuwa labda mke anagongwa nje. Kwanini ulevi umekithiri vile, na ameanza tabia ya kuchelewa kurudi home.
Wife yuko njema, ana mpunga kama husband wake.

Tuliongea kwa kirefu sana jana na kumshauri aache pombe yeye kwanza na ahakikishe anawahi home mapema ili na mwenzi wake afuate hivyo hivyo ili kurudisha amani ndani ya nyumba. But na uhakika wadau wenzangu mnaweza kutoa ushauri mzuri zaidi ili tumsaidie huyu jamaa. yeye ni binadam, ni wazi kabisa amekosea lkn tupo hapa kurekebishana.
Naomba msaada wenu kwa huyu kiumbe. Mambo yatazidi kuwa mabaya hapo mbeleni.

Nawasilisha
 
Aaaah,kina ray c hao watatumalizia chaji za sim zetu,waende MTAA WA LITHULI WATAACHISHWA POMBE TU
 
Naambiwa walevi (si wanywaji) hawaachi pombe ila huenda LIKIZO, hivo kama jamaa yako alikuwa hivo basi aende likizo ya muda mpaka mkewe nae afuate.
 
kaazi kweli kweli.....

Sasa inabidi mwanaume awe mtu wa kanisani kwa sana ikibidi kila siku mida ya kwenda club awe anakwenda church na pengine ajiunge na kwaya kanisani kwake. Halafu amshawishi mkewe wawe wanafuatana huko, atabadilika na kuacha tena pombe...
 
Kazi kweli kweli! Ninachoshangaa na bado sijapata sababu za kitaalam ni "kwa nini wadada wakinywa wine huwa wanachangamka sana ktk mechi?"
 
kaka, hiki kisa cha jamaa yako sio kigeni katika jamii yetu. Nina jamaa zangu wawili wameachana na wake zao kisa wamewafundisha pombe wake wakapitiliza na amani ikatoweka home!!
Ni mara chache sana mwanamke anaejifunzia pombe ukubwani kuweza kujicontrol kama anavyoweza kufanya mtu aliezoea tangia awali. Ni kosa kubwa kumfundisha mkeo/mumeo tabia ya kulewa au kuvuta wakati ulimuoa/olewa akiwa hanywi au havuti. After all si ulimpenda na kumuoa sababu hana tabia ya kulewa? Ni ukosefu wa busarakumbadilisha mtu mzima to the worse wakati ulimkuta ni mtu mzuri tu. Ama kwa hakika ni selfishness kumfundisha mke kunywa ili akupe company unapokwenda ulevini
Ushauri wangu ni kama ufuatao:
1. Aache pombe yeye mwenyewe ili awe mfano kwa mkewe
2. Amkalishe chini amuombe msamaha mkewe kwa kumfundisha tabia hiyo
3. Atafute alternative leisure to replace drinking habits of his wife e.g. swiming, golf playing etc

Ni hayo tu
 
Ndo maana wanaume wenye busara hawapendi kwenda bar na wake zao. Mwanamke akizoea pombe ni balaa. Kama unataka kuharibu ndoa yako jaribu uone.
 
Hivi watu wanalewa white wine kweli?

Like the eagles, we haven't had that spirit here, since 1969.

Wakipewa Johnny black neat? Au some Puerto Rican poisonous rum with 70% alkie?
 
ntarudi, acha nikashtue amarula yangu. Dawa hapo ni mume kuacha pombe na kuzungumza na mkewe ajitahidi kumwongoza vyema hadi aache pombe
 
what goer arround, comes arround! Baba mwendo wa kanisani mama bar,kweli mjinga akielevuka mjanja huwa mashakani.kaaa de Vs is true!
 
Mpe huu mstari Mkuu,
Mithali 31: 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Akijiona si mmoja wao, Arejee apaMithali 31: 4 Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
 
Amtie mimba, akijifungua tu, amtie mimba nyingine, nayo akijifungua amtie nyingine tena, hapo atakuwa amempotezea hamu ya pombe, hii ikishindikana, ahakikishe anamnunulia case nyingi za pombe na misosi ya kumwaga kwa miaka mitatu mfululizo, zitamkifu ataacha.
 
kawaida cku zote mwanafgunzi huenda mbali zaidi ya ticha kama alikua makini kumskiza mwalimu wake
 
Amtie mimba, akijifungua tu, amtie mimba nyingine, nayo akijifungua amtie nyingine tena, hapo atakuwa amempotezea hamu ya pombe, hii ikishindikana, ahakikishe anamnunulia case nyingi za pombe na misosi ya kumwaga kwa miaka mitatu mfululizo, zitamkifu ataacha.
kweli hapa kuna ushauri.........
 
Amtie mimba, akijifungua tu, amtie mimba nyingine, nayo akijifungua amtie nyingine tena, hapo atakuwa amempotezea hamu ya pombe, hii ikishindikana, ahakikishe anamnunulia case nyingi za pombe na misosi ya kumwaga kwa miaka mitatu mfululizo, zitamkifu ataacha.

Natumaini utakuwepo kusaidia gharama za malezi ya watoto kirahisi kama unavyotoa ushauri huu.
 
Wana JF,

jirani yangu ambaye ni close friend tunaishi nae amepata masahibu naweza kusema ni ya kujitakia lakini ndo mambo ya dunia.
jamaa ni mtu wa ku socialise sana na mpenda lager mzuri tu. ana miaka 3 ktk ndoa na mtoto mmoja. Binti huyu ni lutheran safi na hakosi church kila j2. kwa kifupi wanafurahia ndoa yao.
Hivi karibuni kama miezi 4 hivi iliyopita, aliamua kumwonjesha my wife wake white wine baridi.
Binti awali alikuwa anakataa kabisa kugusa pombe. but kwa kuwa alipenda sana coy ya mume wake nyakati za jioni (labda na ka wivu ndani kidogo), alikuwa anaongozana nae hadi club/Bar. huko alipiga soda sana lkn mume alipenda mkewe achangamke kidogo wakati yy akiendelea na ulabu wake.
Siku moja mke alijaribu glass moja na akafanikiwa kuimaliza kwa shida na huku akilalama kuwa kichwa kinagonga sana.
siku zilivyozidi kwenda ikawa glass nazo zinaongezeka.
Siku zingine kama jamaa hataki afuatane nae, humtumia chupa moja ili apige akiwa home. Mume alitoa ushuhuda kabisa kuwa mke wake akipata wine anapiga mechi si ya kawaida na home kunakuwa na amani ya ajabu.

Mke akazoea kinywaji. Ikawa hapigi tena glass chache bali ni mwendo wa chupa.
sasa hivi hasubiri tena kuletewa na mume wake, bali house girl hutumwa chupa mbili na moja hufichwa ili mume asijue kuwa ameshakuwa chapombe kuliko yy mzee wa castle lite.
sasa jamaa anatoa news kuwa wife amekuwa mlevi kiasi kwamba maelewano ndani ya nyumba yamepungua. mke performance imekuwa poor na uvivu ndo umetia team home.

Jana jamaa amerudi home mapema ili kutafuta documents zake za gari ambazo alikuwa ame zi misplace pale home. katika kuchakura kwake, akakutana na chupa ya Balantine half empty imefichwa kati kati ya nguo kabatini. Baada ya kuleta timbwili kali pale, wife aka admitt kuwa ni yeye huwa anachanganya na sweet white wine. jamaa yangu alichanganyikiwa sana.

Kweli jana mshikaji alikuwa ana mawazo sana na hata kuanza kufikiria kuwa labda mke anagongwa nje. Kwanini ulevi umekithiri vile, na ameanza tabia ya kuchelewa kurudi home.
Wife yuko njema, ana mpunga kama husband wake.

Tuliongea kwa kirefu sana jana na kumshauri aache pombe yeye kwanza na ahakikishe anawahi home mapema ili na mwenzi wake afuate hivyo hivyo ili kurudisha amani ndani ya nyumba. But na uhakika wadau wenzangu mnaweza kutoa ushauri mzuri zaidi ili tumsaidie huyu jamaa. yeye ni binadam, ni wazi kabisa amekosea lkn tupo hapa kurekebishana.
Naomba msaada wenu kwa huyu kiumbe. Mambo yatazidi kuwa mabaya hapo mbeleni.

Nawasilisha
pole zake huyo mume ,ila hili siyo tatizo dogo! akishindwa hiyo njia uliyomshauri apelekwe kwa wataalam zaid akapate msaada ila pia arudi naye kanisani kwa sana.

kaka, hiki kisa cha jamaa yako sio kigeni katika jamii yetu. Nina jamaa zangu wawili wameachana na wake zao kisa wamewafundisha pombe wake wakapitiliza na amani ikatoweka home!!
Ni mara chache sana mwanamke anaejifunzia pombe ukubwani kuweza kujicontrol kama anavyoweza kufanya mtu aliezoea tangia awali. Ni kosa kubwa kumfundisha mkeo/mumeo tabia ya kulewa au kuvuta wakati ulimuoa/olewa akiwa hanywi au havuti. After all si ulimpenda na kumuoa sababu hana tabia ya kulewa? Ni ukosefu wa busarakumbadilisha mtu mzima to the worse wakati ulimkuta ni mtu mzuri tu. Ama kwa hakika ni selfishness kumfundisha mke kunywa ili akupe company unapokwenda ulevini
Ushauri wangu ni kama ufuatao:
1. Aache pombe yeye mwenyewe ili awe mfano kwa mkewe
2. Amkalishe chini amuombe msamaha mkewe kwa kumfundisha tabia hiyo
3. Atafute alternative leisure to replace drinking habits of his wife e.g. swiming, golf playing etc

Ni hayo tu
dah! hivi vitu vinacost sana.
 
Back
Top Bottom