nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Himidini..... ukuje hukuuuuuuuu
]nna mchumba katoka hilo kabila[/B]..this means..........
hahahaa hiyo adhabu yako imenifanya nicheke.......
ingawa situation iliyomtokea huyo bint ni ya kusikitisha
so sad
muuaji adhabu inayomfaa ni kifo
auawe kwa kukatwa vipande vipande
yaani wanaanzia kukata kiganja,then mguu,kiganja,mguu,halafu wanakata paja..yaani mtuhumiwa anatakiwa afe akijiona hivi hivi..na maumivu makali ayasikie vile vile
Kibongo bongo hizo sheria hazipo hata kunyongwa sina kama inafanya kazi,labda akabidhiwe kwa wananchi wenye hasira kali wahangaike nae
Sent from my iPhone using JamiiForums
tatizo nao watamuua haraka haraka,
kinoke alishauwawa tayari...Pole kwa wafiwa, R.I.P mtoto. kwa Tarime huyo atauwawa siku si nyingi. Yupo wapi Kenonke?