Amelipa mahari milioni 4!

*****
Huo si mtaji kabisa
 
Mimi mwisho wa mahali ni gunia tano za mahindi tofouti na hapo bakini na mtoto wenu.....
 
Kwanza inaonekana anawajua ndo maana alienda na hela yote hiyo
 
Hivi wakuu inakuaje,mfano MTU kalipa mahari then mwanamke anakaa miez 7 anarud kwao na wazaz wake wanampokea na kumfungulia duka na mahari ilikua million mbili,,ni ushauri wa kitaalam ndo unatakiwa.
Anzisha uzi wake ushauriwe vzr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…