Amelipa mahari milioni 4!

Kwa usawa huu hata milioni yenyewe haikuwa fear
 
Hivi wakuu inakuaje,mfano MTU kalipa mahari then mwanamke anakaa miez 7 anarud kwao na wazaz wake wanampokea na kumfungulia duka na mahari ilikua million mbili,,ni ushauri wa kitaalam ndo unatakiwa.
 
Kulipa mahali kumepitwa na wakati,..
Huu si muda wa kulipa mahali
Huwa najiuliza hii mahali ni ya nini..!
Haina maana kabisa...


Mkuu andika mahari sio mahali
 
Atajua mwenyewe

Ananunua makelele kwa hela zote hizo?
 
Hapo wanaume wanajisikiakamawananunua ng'ombe.

Halafu wanawake bado watadai usawa wa binadamu?
 
Jamaa katoka nje analalamika
Sasa najua ulichokiongea n uwongo,
Na hujui taratibu za kulipa mahari iwaje
Alitajiwa mahar ml 5 akaomba akapunguziwa mpka mil 4 (hata kununua gar kunautaratibu wake mkuu)
Sina haja ya kuandika mengi tafuta mtu mzima akupe utaratib wa kulipa mahari mana haiwezekan atoke nje akilalamika wakat tayar alikuwa ashajua mahar kitambo na akakubali kuilipa na ndio mana alibeba cash yote hyo anacholalamika huy hayawani ni nini??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…