Aiseehahahahahahahha nimecheka kwa nguvu niko ofisini dear
hurumia mbavu zangu, kumbuka hakufika sehemu husika so anaweza akawa alikuwa tu jiji kubwa huku akitudanganya pande zote
Yaaninimekosa cha kusema hapo, mwanzo nilihis unamsingizia but duuuuuh acha nijinyamazie
kwan hayo atakayofanya ni kwa faida ya nani?Million 5 kitu gani? Yeye mbona atafanya mengi sana kuliko hata hiyo hela katika maisha yako!!! Acheni kulia lia wanaume kaaa
umnunulie baba mkwe gari la nini? kwani lazima? unarahisisha sana maishawewe bikira unayo? ushawahi kuwabikiri wangapi? kwa taarifa yako wanawake wachache sana wanaoolewa wa mjni wanaoolewa na wariowabikiri.
unaweza kuoa bikira ukafikiri wewe ndo mjanja wake akakutana na wataalamu wakamkarabati ukaonekana wewe sio kitu.
we lipa tu hiyo nne tabu iko wapi ukipata mechi tatu kwa wiki kwa miaka 20 hela yote isharudi!
utagoma kulipa milioni 4 lakini utamnunulia baba mkwe gari la m12 au utamsomesha shemeji yako kwa m7 we endelea kugoma
hahahahahahah zile zako ndo zilikuwa nyingi bhanaAisee
Sio kwa mahela yale my dear!!!
we jaa upepo tu kwa sasa ukikua utayajua (ngoja ukunjwe vizuri) watu wanajenga nyumba na thamani za ndani wanapeleka achilia mbali kuwaanzishia biasharaumnunulie baba mkwe gari la nini? kwani lazima? unarahisisha sana maisha
ata ubusti nilisikia siku moja akisema yeye ni mtaalam wa hayoYaani
Mie moyo umekufa ganzi
Upangaji wa mahari hauzingatii ilo kumbuka mapenzi hayana shombo....99% ya wanawake wanaochumbiwa au wanaoolewa Tz bara sio bikra na bikra zao hazijatolewa na wanaowachumbia au kuwaoa....km unabisha sawa.....cz hiyo ni fact tu...Unakuta MTU anajua wanaume kibao na huenda ana mtoto halafu wanataka mahali kuuubwa,sasa hiyo mahali ni shukrani ya nn
Mvumilivu hula Mbivu!Siwezi Mimi... Sky tu navumilia mpaka naumwa
Upangaji wa mahali unazingatia dini ya MTU au mila xi vinginevyo...Unakuta MTU anajua wanaume kibao na huenda ana mtoto halafu wanataka mahali kuuubwa,sasa hiyo mahali ni shukrani ya nn
sio mimi kwa kweli,we jaa upepo tu kwa sasa ukikua utayajua (ngoja ukunjwe vizuri) watu wanajenga nyumba na thamani za ndani wanapeleka achilia mbali kuwaanzishia biashara
inaoneshwa wewe umeshikwa sana akiliwe jaa upepo tu kwa sasa ukikua utayajua (ngoja ukunjwe vizuri) watu wanajenga nyumba na thamani za ndani wanapeleka achilia mbali kuwaanzishia biashara
teh..teh...teh.... hapana kwanza mimi sijawahi kulipa mahali kubwa kiasi hicho na mpaka sasa bado nadaiwa mahali na kizuri zaidi hela yangu haikulipa mahali niliyoolea wazazi walilipa kwa taratibu za kwetu.inaoneshwa wewe umeshikwa sana akili
Mtoe tu jamani, mbona kidogo tu hiyo kuliko faida tunazowapa!!!Hahahahahha mbav zang Mkuu,.....bila shaka wew ni wakike maana unamuunga mkono mtolewa mahar