Amelipa mahari milioni 4!

duuuh hapo maneno halafu hata hakufika kwangu, sijui aliishia wapi ila mpe tena nafasi huenda akabadilika.
umri nao umeongezeka mwaka mmoja aweza kuwa somebody else better than yesterday (last year)
Nimempa nafasi nyingi sana my dear!!! Hajali hisia zangu kabisaaa
 
Hahah bonge la neno ili
 
pole dear but naona akijali maana sio kwa hizo sorry na machozi mengi, mie hata sijawahi ona hii
nafikir mimi nijitoe tu
Usijali my dear.... Kama alikufungia safari it's you he love!!! Hebu mpe nafasi kwanza ajiridhishe nafsi
 
Usijali my dear.... Kama alikufungia safari it's you he love!!! Hebu mpe nafasi kwanza ajiridhishe nafsi
hahahahahahahha nimecheka kwa nguvu niko ofisini dear

hurumia mbavu zangu, kumbuka hakufika sehemu husika so anaweza akawa alikuwa tu jiji kubwa huku akitudanganya pande zote
 
Ndo maana znaa inazidi, kuzalia nyumbani kumeongezeka, mahar ghali znachangia kukwamisha ndoa
Halafu wanaofaidi mahali hizo unakuta siyo binti anaeenda kubeba jukumu la ndoa wala si mama na baba waliobeba jukumu la kulea
Unakuta ni ndugu tu tena wanazitolea macho kweli,
Hii mila hovyo kabisa,afaidi mtoto na wazazi waliolea,ss wengine tuozeshe na sisi wa kwetu
 
Kulipa mahali kumepitwa na wakati,..
Huu si muda wa kulipa mahali
Huwa najiuliza hii mahali ni ya nini..!
Haina maana kabisa...
Unakuta MTU anajua wanaume kibao na huenda ana mtoto halafu wanataka mahali kuuubwa,sasa hiyo mahali ni shukrani ya nn
 
Siwezi kulipa mahali nyingi kiasi hicho hasa Kwa kipindi hiki.
 
Kila watu na mipango yao...

Siku hizi mahari ni wanawake ndiyo hutaarifa wazazi wao huyu jamaa mpige hizi atatoa tu...


Cc: mahondaw
 
Hahahhaa... ndo nshapigwa chini hivyo.

Huyu Sakayo mi nimeamua kumwachia Mungu...
bora kakuacha na roho yako fweza yako nayo akuchukua yote kama kigari umlimnunulia ki love four j hakikukupa hasara sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…