Amekuwa blocked kwenye simu zake zote baada ya kuachana hali ya kuwa wana mtoto

Iwe fundisho kwa wengine,jitahidi kumwaga nje mpaka uhakikishe huyo mtu atakufaa maishani.Mtu hujamjua vizuri ushatia mimba ona sasa msingekuwa na mtoto kila mtu angechukua time yake.Bora kuchelewa kupata mtoto kuliko haya yanayoendelea,

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Watu huwa wanaficha mabaya yao mkuu.
 
Sijakuelewa mkuu.hashauriki kivipi?

Ufafanuzi plz!
Acha ubwege wa kumtafuta. Kata mawasiliano jumla. Tafuta mwanamke sahihi na mwenye nidhamu wa kumuoa.

Mtoto akifiki miaka mitano fungua kesi ya kumchukua kama utakuwa umejipanga kumlea. kama utakuwa hujajipanga mwache akae na mtoto wake.
 
Talking from the experience, wewe huyo bado unampenda na anajua unampenda yeye na mtoto.Sasa atakutesa tu kwa kipindi mpk ujute. kikubwa fanya hivi
1. Sababu ulikua na mpango wa kwenda mkoa,hakikisha unaondoka haraka sana
2. Mradi mama yako yupo hai, mtumie mama yako kumjulia hali mjukuu wake japo ngumu mwanzoni lakini utazoea.
3.Hakikisha anajua unaishi vizuri,, yaani anza kudate pesa mfano nunua vitu expensive mtumie mama yako awe anampatia mjukuu wake, pendeza na unone be happy
4.Usije kumtafuta kabisaaaaa
5.Tafuta mwanamke OA au Tia mimba na ajue kweli umeweka.

Akiendelea kukaa bila kukutafuta,,yaani jua hakuwahi kukupenda maishani mwake.
 
Just take your time na utapona kisha ndipo ufanye maamuzi ambayo utayaamua ukiwa na akili na sio ukiwa na hasira.
Kwasasa naona kama bado una hasira sana, na niseme ukweli nakuona ukiwa bado haujafanya maamuzi sahihi kwasababu bado moyo wako upo kwa hiyo saa mbovu (hapa naona kutaka kuongea na mtoto ni kisingizio tu aiseeee)
 
Ahsante hii imeendaaa!!
 
Hii imeendaa mkuu.
 
Just take your time na utapona kisha ndipo ufanye maamuzi ambayo utayaamua ukiwa na akili na sio ukiwa na hasira.
Kwasasa naona kama bado una hasira sana, na niseme ukweli nakuona ukiwa bado haujafanya maamuzi sahihi kwasababu bado moyo wako upo kwa hiyo saa mbovu (hapa naona kutaka kuongea na mtoto ni kisingizio tu aiseeee)
Mambo haya ni magumu na mepesi kutegemeana na mtu, kuhusu mtoto au watoto ndiyo wanaotesa sana watu.

Hii imefika mkuu. Nitamfikishia ujumbe huu afanye hivyo.

Akiachana na kumtafuta mtoto atapona.
 
Just take your time na utapona kisha ndipo ufanye maamuzi ambayo utayaamua ukiwa na akili na sio ukiwa na hasira.
Kwasasa naona kama bado una hasira sana, na niseme ukweli nakuona ukiwa bado haujafanya maamuzi sahihi kwasababu bado moyo wako upo kwa hiyo saa mbovu (hapa naona kutaka kuongea na mtoto ni kisingizio tu aiseeee)
Ila mtoto anauma mkuu..
Mazoea mabaya
 
Amekwambia uende kwake, mtego huo, kuna styles mpya zimetoka, "maridhiano ya bandari" na nyingine "ujenzi wa bandari ya Bagamoyo" hiyo ya pili ni kiboko lazima usalimu amri na urudishe majeshi upyaaaa.
Nimecheka sanaaa
 
Back
Top Bottom