Amekatika mkono 1

Amekatika mkono 1

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Jamaaa alikatika mkono 1,baada ya kuona maisha magumu,akapanda ghorofani ili ajitupe chini.Kabla ajajitupa chini akamwona mtu hana mikono yote akiruka ruka kwa furaha,akamwuliza ,"Vipi mbona unaruka kwa furaha wakati huna mikono yote"?Jamaa akamjibu ,furaha wapi ndugu yangu,Hapa mat*k* yanawasha nashindwa kujikuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom