Amekataliwa kwenda kusoma

Amekataliwa kwenda kusoma

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
446
Reaction score
216
habari wana jamii naomba ushauri yumsaidie vipi huyu Mwl Wa kike .ameajiriwa tangu mwaka 2011 sekondari ni mwalimu Wa maths na physics aliomba nafasi ya kwenda kusoma akachaguliwa kujiunga na chuo st john sasa amefuatilia ruhusa Mkuu wake kakoment asiruhusiwe maana shule haina Mwl Wa physics , kaenda kwa afisa elimu nako kanyimwa eti akitaka aache Kazi , sasa ushauri afanyaje aweze kusaidiwa au kuna sheria zipi zinaweza kumfanya awashitaki hawa wakuu wake.
 
Swali la kwanza , mwalimu huyo alikuwa kwenye mpango wa kwenda shule mwaka gani kulingana na ratiba ya shule yao? Alipangiwa mwaka gani?
 
Mwalimu wa Math na Physics anaogopa kuacha kazi kwenda kusoma? Amwambie boss wake achague ampe ruhusa akasome kisha arudi kuendelea kufundisha au amnyime ruhusa aache kazi. Asiogope na yeye, kwa taaluma yake hawezi kaa hata wiki mtaani kabla hajapata kazi pengine.
 
alipangiwa mwaka huu ila wanamwambia hawajampata mbadala.
 
alipangiwa mwaka huu ila wanamwambia hawajampata mbadala.

kwanza huyo mwalimu hajiamin ukosefu wa waalimu ni tatizo la kitaifa na hastahili kuadhibiwa yeye . kwenda kusoma ni haki yake na hiyo comment ya mkuu wa shule haimnyimi ruhusa mwalimu
 
Asitoroke Mana Majina Yote Yapo Kwenye LAWSON Na Hatapata Ajira Serikalini.Anadhani Akiwa Na Degree Atakua Raisi Au?
 
bumija hiyo sio kauli ya kistaarabu kwani waliosoma wrote no marais ...kila MTU anapenda kufikia lengo alilojiwekea akiwa mdogo..
 
habari wana jamii naomba ushauri yumsaidie vipi huyu Mwl Wa kike .ameajiriwa tangu mwaka 2011 sekondari ni mwalimu Wa maths na physics aliomba nafasi ya kwenda kusoma akachaguliwa kujiunga na chuo st john sasa amefuatilia ruhusa Mkuu wake kakoment asiruhusiwe maana shule haina Mwl Wa physics , kaenda kwa afisa elimu nako kanyimwa eti akitaka aache Kazi , sasa ushauri afanyaje aweze kusaidiwa au kuna sheria zipi zinaweza kumfanya awashitaki hawa wakuu wake.

Mwambie ani PM nimpe njia
 
mwambie asome open university,mi mwenyewe waligoma lakn sasa naelekea kumaliza dgree yangu open
 
Sasa swala la kukosa walimu linamuhusu nni? Walimu wa sayansi bhana, wwe kopa kwanza then kawaage ofisini ukiwa na nakala zako zote ya kwanza ya ajira ya pili ya kuwekwa kwenye mpango wa kwenda masomoni ya tatu ya chuo!! Then nenda shule kapige msuli rikizo au TP ikiwezekana omba wilaya husika au hata shule hiyo hiyo. Last ujue ruhusa ya kwenda kusoma kwa nchi zetu hizi ni mapambano wao hawataki kwenda lakini wanazuia wengine wasiende. Hiyo ni haki yako pambana kama unavyojua haki haiombwi inatafutwa.
 
bumija hiyo sio kauli ya kistaarabu kwani waliosoma wrote no marais ...kila MTU anapenda kufikia lengo alilojiwekea akiwa mdogo..

Achana nae huyo BUMIJA ni mwalimu bogus kabisa kutokea Kwa kizazi hiki waalimu kama hawa ndo wanaofanya watoto wetu kufeli mwalimu gani anakua pasua ivi
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio mzoefu sana kwenye kada hiyo mwambie akomae aisee asijubali Dream yake ife kirahisi rahisi
 
Msitake Kumdanganya Mwenzenu Atoroke Kazi Wewe
 
anicheki mm lilinikuta kama hilo ila nilipata ruhusa bila matatizo nimpe suluhu simple
 
Back
Top Bottom