Tusubirie isije ikawa shuti kapiga doumbiaNa iwe kweli, tumechoka na off target, sahivi iwe on target na goal juu.
Aaaah
Mh sijaelewaaaSasa rasmi ule uzi wa 'rais wa USA ambaye hakugombea urais utakwenda, itatokea na huku kwetu' utatimia kwa 100%
Tatizo ni kwamba rais bado atakuwa mpemba, mana yule jamaa sio mtu wa Dodoma wala sio mkristo
Wapi hujaelewa mkuuMh sijaelewaaa
Ushungi umefunikwa auWapi hujaelewa mkuu
Kuna Uzi ulipandishwa na Tumia akili naona bado unapumuaMh sijaelewaaa
TusubiriUshungi umefunikwa au
December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Wanataka kututoa kwenye mfumo , jezi za * imebuma,leo mara jeywi ni mali yao,mara spichi ya kabdi,mara kumix wizara ,mara simba,mara misgrandmalta ,......... pole ya ajali imeonekana itafufua makabur ..badoSote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka wa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Wee hiyo apige Mpanzu au shalulile.Tusubirie isije ikawa shuti kapiga doumbia
Hii Maema bwanaWee hiyo apige Mpanzu au shalulile.