Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,837 Oct 4, 2015 #41 Ukionyeshwa picha kwenye albamu ya familia halafu ukakutana na moja imewekewa X maana yake nini? Usitupotezee muda hapa.
Ukionyeshwa picha kwenye albamu ya familia halafu ukakutana na moja imewekewa X maana yake nini? Usitupotezee muda hapa.
Magisha JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 617 Reaction score 500 Oct 4, 2015 #42 hill and portion said: R.I.P au marehemu Click to expand... Hayati
Mkuu rombo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,556 Reaction score 422 Oct 4, 2015 #43 pole ndugu yangu umeshakufa
2 2po_pamoja Member Joined Sep 26, 2015 Posts 40 Reaction score 5 Oct 4, 2015 #44 Nakumbuka darasa la kwanza: X= Umekosea, ulichofanya siyo sahihi na hakistahili kufanyika; umefanya ujinga; umefanya hovyo; tafakari upya ulichokifanya; acha kufanya hivyo!!!
Nakumbuka darasa la kwanza: X= Umekosea, ulichofanya siyo sahihi na hakistahili kufanyika; umefanya ujinga; umefanya hovyo; tafakari upya ulichokifanya; acha kufanya hivyo!!!
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,295 Reaction score 3,877 Oct 4, 2015 #45 Maana yake kila atayepita katikat ya mapaja yake lazima afe
A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,039 Oct 4, 2015 #46 Preta said: Lazima ni lile lidada la pale Bright Guest house.........aisee....... Click to expand... Hahaha
Preta said: Lazima ni lile lidada la pale Bright Guest house.........aisee....... Click to expand... Hahaha
chipolopolo 2 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 3,292 Reaction score 1,841 Oct 4, 2015 #47 Sijuti kweli utajuta mwaka huu
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,359 Oct 4, 2015 #48 South wana utaratibu wa kumuwekea hyo alama mtu mwenye ngoma. Huyo dada aliwahi kuishi south
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,913 Oct 4, 2015 #49 pierre tall said: Maana yake kila atayepita katikat ya mapaja yake lazima afe Click to expand... Wewe hutakufa?
pierre tall said: Maana yake kila atayepita katikat ya mapaja yake lazima afe Click to expand... Wewe hutakufa?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,574 Reaction score 41,551 Oct 4, 2015 #50 Itakua yule mgombea mwenye tabia ya kuweka X anataka abomolewe huyo
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,295 Reaction score 3,877 Oct 4, 2015 #51 BONGOLALA said: Wewe hutakufa? Click to expand... Wewe si umeuliza maana yake nini?tumekupa tafsiri yake...sasa unaogopa tafsiri tena..
BONGOLALA said: Wewe hutakufa? Click to expand... Wewe si umeuliza maana yake nini?tumekupa tafsiri yake...sasa unaogopa tafsiri tena..