Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Ukionyeshwa picha kwenye albamu ya familia halafu ukakutana na moja imewekewa X maana yake nini? Usitupotezee muda hapa.
R.I.P au marehemu
Lazima ni lile lidada la pale Bright Guest house.........aisee.......
Maana yake kila atayepita katikat ya mapaja yake lazima afe
Wewe hutakufa?