Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
sasa wewe c ndo umeona tangazo nadhani ungeenda kwenye uwo mkutano ukashuhudie mwenyewe.Jana nikuwa jijini Mwanza nikapita viwanja vya furahisha nikaona matangazo na maandalizi ya mahubiri yatakayoanza j'tano. Kilichonivutia ni kwamba nikaona picha ya binti anayedaiwa kuwa alikufa na sasa amefufuka kwa maombi. Nauliza, hizi habari ni kweli au ni uzushi tu?
kamata hii chakula tamuView attachment 36609Yale yale ya Yesu. Akili kuongozwa na imani, wewe amini tu. Wajinga ndio waliwao.
<br />Haya ni maneno ya watu wasiomjua MUNGU wa kweli. Kwani kuna jambo lolote la kumshinda MUNGU? Yote yanawezekana kwake aaminiye na MUNGU hufanya jambo kwa utukufu wake.
<br />Msidharau mahubiri ya watumishi wake. Na bado mengi 2taona.
Haya ni maneno ya watu wasiomjua MUNGU wa kweli. Kwani kuna jambo lolote la kumshinda MUNGU? Yote yanawezekana kwake aaminiye na MUNGU hufanya jambo kwa utukufu wake.