Amefaulu vizuri ila hajapangiwa shule

NADIA NJAMA

New Member
Jun 18, 2014
3
0
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne na amefaulu tu vizuri cha kushangaza aja pangiwa katika posts amekata tamaa mana baba yake ana dhani ajafaulu.
 
Tambua kuwa kufauru na kuchaguliwa ni vitu viwili tofauti, wanaosoma private si kama walifeli ila hawakuchaguliwa tu. Aende private.
 
Shule kibao zipo za private si aende tu.
Tatizo pia hua haminiki katika familia kwa sababu amezidisha uongo.
 
Back
Top Bottom