moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,195 Reaction score 770,332 Jul 17, 2025 #21 Bantu Lady said: Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ Click to expand... Mkuu niaje
Bantu Lady said: Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ Click to expand... Mkuu niaje
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,195 Reaction score 770,332 Jul 17, 2025 #22 Utoto una raha yake bhanaπ
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 4,802 Reaction score 5,856 Jul 17, 2025 #23 Tabu za duniaπ€
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,850 Jul 17, 2025 #24 Nipo mkuu nimefilisika, naitwa Kijana Masikini sasa, sina mbele wala nyuma nipo nipo tu. Nelly
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,666 Reaction score 11,125 Jul 17, 2025 Thread starter #25 Kijana Masikini said: Nipo mkuu nimefilisika, naitwa Kijana Masikini sasa, sina mbele wala nyuma nipo nipo tu. Nelly Click to expand... Pamoja sana mkuu.
Kijana Masikini said: Nipo mkuu nimefilisika, naitwa Kijana Masikini sasa, sina mbele wala nyuma nipo nipo tu. Nelly Click to expand... Pamoja sana mkuu.
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,850 Jul 17, 2025 #26 Nelly said: Pamoja sana mkuu. Click to expand... Pamoja.
PSL god JF-Expert Member Joined Nov 18, 2023 Posts 12,575 Reaction score 9,154 Jul 17, 2025 #27 π€£π€£ππ
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,356 Reaction score 25,891 Jul 17, 2025 #28 Ndo mana nashangaa jamii forum ima member laki 6 wanaochat kila siku wale wale kumbe member mmoja ana mpaka I'd elfu 2 peke yake
Ndo mana nashangaa jamii forum ima member laki 6 wanaochat kila siku wale wale kumbe member mmoja ana mpaka I'd elfu 2 peke yake
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,666 Reaction score 11,125 Jul 17, 2025 Thread starter #29 Kalaga Baho Nongwa said: Ndo mana nashangaa jamii forum ima member laki 6 wanaochat kila siku wale wale kumbe member mmoja ana mpaka I'd elfu 2 peke yake Click to expand... Ni huzuni kuu
Kalaga Baho Nongwa said: Ndo mana nashangaa jamii forum ima member laki 6 wanaochat kila siku wale wale kumbe member mmoja ana mpaka I'd elfu 2 peke yake Click to expand... Ni huzuni kuu
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,797 Reaction score 55,579 Jul 17, 2025 #30 Bwana mdogo nadhani Umefikisha π kumi na kitu
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,666 Reaction score 11,125 Jul 17, 2025 Thread starter #31 Shadow7 said: Bwana mdogo nadhani Umefikisha π kumi na kitu Click to expand... Hapana mkuu nina ID mbili tuu na ile kongwe zaidi aliifuta Maxence Melo mwenyewe baada ya kumuomba.
Shadow7 said: Bwana mdogo nadhani Umefikisha π kumi na kitu Click to expand... Hapana mkuu nina ID mbili tuu na ile kongwe zaidi aliifuta Maxence Melo mwenyewe baada ya kumuomba.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jul 17, 2025 #32 moudgulf said: Mkuu niaje Click to expand... Salama kabisa Mkuu moudgulf za masiku tele. Tunapishana sana humu. Natumaini u mzima wa afya. Nafurahi kukuona tena hapa.
moudgulf said: Mkuu niaje Click to expand... Salama kabisa Mkuu moudgulf za masiku tele. Tunapishana sana humu. Natumaini u mzima wa afya. Nafurahi kukuona tena hapa.
Muimba SINGELI JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 4,211 Reaction score 10,850 Jul 17, 2025 #33 Nelly said: Hapana mkuu nina ID mbili tuu na ile kongwe zaidi aliifuta Maxence Melo mwenyewe baada ya kumuomba. Click to expand... Hupaswi kuandika mada kuhusu mtu mwingine humu, ukiandika tu huyo mtu ni wewe.
Nelly said: Hapana mkuu nina ID mbili tuu na ile kongwe zaidi aliifuta Maxence Melo mwenyewe baada ya kumuomba. Click to expand... Hupaswi kuandika mada kuhusu mtu mwingine humu, ukiandika tu huyo mtu ni wewe.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,195 Reaction score 770,332 Jul 17, 2025 #34 Bantu Lady said: Salama kabisa Mkuu moudgulf za masiku tele. Tunapishana sana humu. Natumaini u mzima wa afya. Nafurahi kukuona tena hapa. Click to expand... ππ Shukrani mkuu
Bantu Lady said: Salama kabisa Mkuu moudgulf za masiku tele. Tunapishana sana humu. Natumaini u mzima wa afya. Nafurahi kukuona tena hapa. Click to expand... ππ Shukrani mkuu
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,666 Reaction score 11,125 Jul 17, 2025 Thread starter #35 Kijana Masikini said: Hupaswi kuandika mada kuhusu mtu mwingine humu, ukiandika tu huyo mtu ni wewe. Click to expand... Ukweli huujua mwandishi
Kijana Masikini said: Hupaswi kuandika mada kuhusu mtu mwingine humu, ukiandika tu huyo mtu ni wewe. Click to expand... Ukweli huujua mwandishi