Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 16, 2025 #1 Ni kijana aliyejitambulisha kama Tajiri asiye na baya lakini ghafla akapotea katika mazingira ya kutatanisha. Mimi nikiwa kama Kijana Masikini nilipenda sana kuchukua nondo kutoka kwake, Tajiri Sina Baya. Popote alipo Kipenzi chake Marry Diana anamsalimia. View attachment 3408367
Ni kijana aliyejitambulisha kama Tajiri asiye na baya lakini ghafla akapotea katika mazingira ya kutatanisha. Mimi nikiwa kama Kijana Masikini nilipenda sana kuchukua nondo kutoka kwake, Tajiri Sina Baya. Popote alipo Kipenzi chake Marry Diana anamsalimia. View attachment 3408367
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,291 Reaction score 6,774 Jul 16, 2025 #2 Aisee
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,291 Reaction score 6,774 Jul 16, 2025 #3 Ni huyo huyo kijana maskini
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,291 Reaction score 6,774 Jul 16, 2025 #4 Huu ujinga unasibiri kupitiwa na Moderators ili ufutwe kwa umma!
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,971 Reaction score 117,346 Jul 16, 2025 #5 Kumbe na hii ni ID yako pia. Moderator kazi kwenu.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,441 Jul 16, 2025 #6 Mungu nifundishe kunyamaza
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,229 Reaction score 32,040 Jul 16, 2025 #7 Unajikuna makalio halafu unanusa
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,441 Jul 16, 2025 #8 Kijana Masikini Yuko bize na mchepuko wake Marry Diana
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,441 Jul 16, 2025 #9 DR SANTOS said: Unajikuna makalio halafu unanusa Click to expand... Na hivi ana jisafishia magunzi au mawe, hiyo harufu lazima azimie
DR SANTOS said: Unajikuna makalio halafu unanusa Click to expand... Na hivi ana jisafishia magunzi au mawe, hiyo harufu lazima azimie
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,531 Reaction score 13,774 Jul 16, 2025 #10 Ni huzuni kubwa
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 12,625 Reaction score 23,821 Jul 16, 2025 #11 Utoto pelekeni bunge primary
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 16, 2025 Thread starter #12 Marco Seth said: Ni huyo huyo kijana maskini Click to expand... Heri wewe umetumia hekima kujibu.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 16, 2025 Thread starter #13 DR SANTOS said: Unajikuna makalio halafu unanusa Click to expand... Usipoonekana jukwaani na ukauliziwa na member yeyote, atakuwa anajikuna makalio?
DR SANTOS said: Unajikuna makalio halafu unanusa Click to expand... Usipoonekana jukwaani na ukauliziwa na member yeyote, atakuwa anajikuna makalio?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,710 Jul 16, 2025 #14 Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ
Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 16, 2025 Thread starter #15 Bantu Lady said: Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ Click to expand... Itakuwa ni maajabu sana kama kuna watu huwa wanafanya hivyo
Bantu Lady said: Kwani umesahau kulog out ama? Wenye ID mbili mbili na zaidi mna kazi sana. Ulijua unaandika na hiyo uliyoitag ama? ππππ JF πππ Click to expand... Itakuwa ni maajabu sana kama kuna watu huwa wanafanya hivyo
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 16, 2025 Thread starter #16 Asante Member ambae umenitag kwenye uzi ambao alielezea kubadili ID. Nimejua anatumia ID nyingineπππ
Asante Member ambae umenitag kwenye uzi ambao alielezea kubadili ID. Nimejua anatumia ID nyingineπππ
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,291 Reaction score 6,774 Jul 17, 2025 #17 Nelly said: Asante Member ambae umenitag kwenye uzi ambao alielezea kubadili ID. Nimejua anatumia ID nyingineπππ Click to expand... Pp
Nelly said: Asante Member ambae umenitag kwenye uzi ambao alielezea kubadili ID. Nimejua anatumia ID nyingineπππ Click to expand... Pp
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,140 Reaction score 7,972 Jul 17, 2025 #18 Ugonjwa wa akili upo ...tuchukue hatua.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,971 Reaction score 117,346 Jul 17, 2025 #19 Moderator anzisheni Jukwaa la watoto.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jul 17, 2025 Thread starter #20 The Icebreaker said: Moderator anzisheni Jukwaa la watoto. Click to expand... Unalipia Server mkuu?