Amechora tattoo begani ya ua nililomnunulia

Amechora tattoo begani ya ua nililomnunulia

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2022
Posts
1,180
Reaction score
1,599
Wanajamvi hamjambo?

Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa

Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani. Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini? Na hajali maneno yeye anaangalia amani ya moyo wake.

Nimesikia tattoos hazikubaliki kidini wala kwenye mazingira ya mtaani hasa kwa jamii iliyostaarabika. Naanza vipi kumuambia shida tutakayoipata wakimuona ma ustaadh kwenye hali hiyo? Na ujauzito je hauwezi pata changamoto kutokana na tattoo?

Screenshot_2023-01-24-12-22-50.jpg
 
Hilo ua ulilomnunulia umelitoa wapi mbona ni kama tawi wala sio ua na haya hapa bongo hayapo??
 
Wanajamvi hamjambo?
Huyu mchumba wangu ambaye ni mjamzito mpaka sasa aliniomba anichore begani kwake ila nikakataa

Kwa hasira nafikiri za mimba changa, amechora ua hilo hapo begani.

Anapenda tattoos sana na hili haliwezi sababisha iniletee shida kwenye kubadili dini?

Na hajali maneno yeye anaangalia amani ya moyo wake.

Nimesikia tattoos hazikubaliki kidini wala kwenye mazingira ya mtaani hasa kwa jamii iliyostaarabika.

Naanza vipi kumuambia shida tutakayoipata wakimuona ma ustaadh kwenye hali hiyo?

Na ujauzito je hauwezi pata changamoto kutokana na tattoo?View attachment 2493804
Kwani watamvua nguo waone?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom