Amebadilika baada ya kumpa penzi

Achana nae
 
Kuchelewa kumpa mtu tendo kunachangia. Unafukuzia miezi, anakuja anakubali lakini anakurusha rusha mwisho unaamua tu huyu siku nikimmega atanisikia kwenye bomba.
 
Pole usiumize sana kichwa maji yakishamwagika hayazoleki inabidi ukubaliane na hali maisha yaendelee.
 
Imeisha hiyooo,,,,,,,Baharia sio watu wazuri washapita na Airtel. Kaa kininja wewe la sivyo utaliwa sana.
 
chadema sijui wanatupeleka wapi 😝
CCM nao ni shida sana mpaka ndege imekamatwa kwasababu ya ufisadi wao. Nyingine inasubiriwa London. Ikitua Symbian wanachukua chao. Bado mchina naye anasubiri pesa zake za marejesho ya mkopo. Tembea kifua mbele CCM ni ile ile haiwezi kubadilika. Wakulima wakorosho nao wametapeliwa na CCM
 
Sisi wanaume tukipenda huwa tunataka wapenzi wetu tuwe nao muda wote. Na huwa hatukatai K kwa mwanamke tunayempenda hata kama yupo China huwa tunatuma nauli aje. Kama umeomba mpaka gemu kagoma. Hapo hauna chako na ukimlazimisha sana mwisho wa siku atakuzalisha na kukuacha. HAPO HAKUNA MAPENZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…