Amebadilika baada ya kumpa penzi

Alichotegemea sicho alichokikuta

Hata mimi ikitokea hivyo nakua busy ghafla[emoji23]
 
Bwawa linavumilika hata kurudi kuogelea ni possible

Ilaa smell damn no
 
Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
Hatufanani mkuu na haitokaa iwe hvyo, kwahiyo kwa hali kama hii unataka kuhalalisha uovu uendelee? Haiwez kuwa hvyo kwa sababu ya wachache.
 
Husijisikie vibaya dear wala husione una kasoro yoyote, Yeye ndio mwenye matatizo tena ana kasoro za kiakili. Wakaka wengi wanaona sifa kuwa na wanawake wengi kiasi kwamba ukifanyiwa hivyo unajihisi labda una upungufu kwenye mwili wako au pengine we sio mzuri na kujiona huna thamani tena. No your beautiful in your way na husiruhusu mtu akufanye ujihisi you lack something as a woman.
Yupo ambaye atakupenda na kukuthamini the way you are.
Jipende kwanza kwa sababu hakuna atakayekupenda kama wewe hujipendi.
Na punguza kuwa mrahisi kwa wanaume kwa sababu nahisi huyo mwanaume hata miezi miwili hamjafikisha na kakupiga kakuacha.
Jithamini, work hard na utampata anayekupenda.
 
trust me. KUM+MA yako INANUKA , au mdomo, nishawai mpotezea dem kwa sababu iyoiyo,

angalia ku ma yako vizuri

huo ndo ukweli

na iyo harufu haitamuondoka kichwani mwake mpaka ipite miezi 6
 
Ni Kweli Hivi Karibu Nilikuwa Busy Naomba Univumilie Japo Hata Mimic Naumia Nilijua Utahisi Kama Nimebadirika.


Ila Umenishangaza Kumbe Na Wewe Upo Huku Shikamoo
 
Siku hizi mademu mna mashimo sana yaani balaa tupu,kuna mmoja hata mm nilipiga Mara moja tu maana demu ana bonge la shimo hakuna radha kabisa..
Sasa sifa ya mwanamke si shimo?ulitaka ukute uwalaza alafu ungetombaje? Mnakwama wapi mabaharia au ndo vibar100???
 
Jiangalie usiwe unanuka k
 
mbona havihusiani, Tamari alibakwa, huyu mleta mada walikubaliana
 
The deed is done, move on. Ukweli ni kwamba;
1) Either kuna gap between expectation na reality
2) U were meant for once only use
3) Alikua anapambana kwengine na akafanikiwa after
4) Amejihisi hastahili kuwa na wewe kutokana na experience aliyoipata

Don't stress over it, just pick a reason that will make you sleep at night then move on.
Next time jitahidi kutafuta mtu ambaye anakuthamini as a human being first and then as a woman before atake mwili wako. That will help you be respected.
 
Pole mdogo wangu, usijistress japo ni vigumu kutokumuwaza hasa kama umempenda ila jipe moyo, hakuna kisicho na mwisho jitahidi kuanza kumsahau na hata namba zake futa usiendelee kumtafuta wala kumuuliza na kumbembeleza manake kwa tabia za wanaume anaweza kuja kukutamkia maneno mabaya ambayo for the rest of your life utajichukia au anaweza kuamua kuendelea kukutumia vibaya mpaka ujione huna thamani tena. Na usiwaze kwamba una kasoro hapana, huyo hakuwa na nia ya kuwa na mahusiano na wewe bali baada ya kuona wewe unaonyesha kumpenda akaamua ku take advantage tena ukute ana mpenzi wake permanent kwako alitaka kupita tu mana wanaume wana hizo sana. Kingine cha mwisho usiwe mrahisi kusex na wanaume na usiwe mwepesi kujirahisi kwao mama mana mabazazi ni mengi mno dunia ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…