Amebadilika baada ya kumpa penzi

Siku hizi mademu mna mashimo sana yaani balaa tupu,kuna mmoja hata mm nilipiga Mara moja tu maana demu ana bonge la shimo hakuna radha kabisa..
Mkuu una muumiza kisaikolojia vibaya sana huyu mtoto mrembo AGNESS LOYDE .

Ipo siku kuna mtu atampenda sana huyu mrembo kiasi yeye ndio atamkimbia au kumsumbua huyo jamaa mwingine.

Akitokea mtu wa namna hiyo nayeye asimtendee ubaya au maringo, akumbuke anavyo umia sasa.
 
Kama ni uwanja wa Masumbwi.. Basi ndo umepigwa TKO
 
kuna mawili,game lako sio alilotarajia au alikuwa anataka apige show tu na wewe then asepe ana mtu wake.
ushaona wapi Rais ana fanaya kampeni baada ya uchaguzi?
 
Tena unapaswa kumshukuru sana huyo jamaa kwa maamuzi sahihi aliyoyafanya maana amekusaidia siku ukimpata mwingine huwezi kuwa rahisi kama kwake.
 
Umewahi kuona viongozi wanaendelea na kampeni baada ya kuchaguliwa??
 
Hakuna kitu chenye manufaa na tulizo la moyo kama kuwa calm ikitokea tatizo kwenye maisha yako. Inakupa muda wa kuichunguza tatizo na kuichunguza wewe binafsi kujua umekosea wapi na kurekebisha
100% very true miss_blossom. Lakini wakati mwingine tatizo linazidi uwezo wa mtu husika kulibeba na kupelekea kuwa kama kachanganyikiwa. Kwa wenzetu wanaotambua hili ma-psychologists ni wengi kama ilivyo kwa madaktari wa magonjwa mengine ya binadamu. Hii ni ili kuwasaidia watu ambao kwa namna moja au nyingine baada ya kupata matatizo ya kimaisha maji uelekea kuzidi unga. Huku kwetu ni tofauti hatuthamini sana uhai wa wenzetu ndiyo maana tukipatwa na shida waliotuzunguka wanakuwa kama wanalikuza hilo tatizo, watakucheka na kukubeza as if wewe ndiyo wa kwanza kupatwa hapa duniani. Hii imezoeleka huku kwetu maana ngozi nyeusi wengi ufurahia watu wengine wanapopatwa na tatizo. Hii upelekea watu kukaa na shida zao bila kumshirikisha mtu yeyote na mambo yanapowazidia either ujinyonga, au kuwa na tabia atarishi kama uzinzi na ulevi wa kupindukia mwisho uharibikiwa au kuweuka kabisa.
 
Aliyemuumba mwanaume kutamani ni nani huyo? Maana hakuna sehemu inayoonyesha kuwa Mungu alimuumba mwanaume kutamani!
Unafikiri ni kwa nini Adam alikatazwa na Mungu lakini bado alimtafuna Hawa kama siyo asili ya tamaa ya mwanaume.
 
ungekua mwanaume kwa siku 2 (ambae sie hanisi) wallah ungekuja na kufuta unachokiandika
I second you here. Maumbile yanaathiri matendo. Nature affects nature. Hii ya kudhalau nguvu ya kimaumbile ya mwanaume haitofautiani sana na ile ya baadhi ya wanaume wanaodhalau na kubeza baadhi ya tabia mimba za wanawake wajawazito.
 
Aisee haha
 
Hahahahahahahsh
Mtoa Mada na wanawake wenzako mnaskia wanaume tunaitana mabaharia kiufupi nadhan hamuwajui mabaharia huyu sasa uliekutana nae ndo Baharia

Hakika ametuwakilisha vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…