Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Sawa mkuu ni maisha yako
we tunda usile kabisa akija kwako mfundishe 2 na umuandalie io laki 7 na ada ya kuresit afu wajanja wengine watamzalisha mtoto wa pili kabla ya kumaliza mara ya pili kusomaHabari za mida wana JF,
Ushauri wenu ni muhimu kwangu katika hili,
Nilishawahi leta uzi humu kuhusu huyu dada mmoja nimpendae japo alizalishwa akiwa form one miaka 2009. Katika pita zangu nilikutana na huyu dada wa kaumbika mashalah bhasi ikabidi nimpige mkono na kumwagia voko alifanikiwa kutiki japo kwa mbinde. Alinieleza yote kuhusu historia ya maisha yake nikaona isiwe tabu ngoja nijichukulie tu huu mzigo.
Huyu binti anauza duka la madawa baridi mbali kidogo na hapa chuo japo ni mkoa mmoja. Baada ya miezi miwili hivi nikawa namchunguza na kugundua kua hayuko serious na love kwani alikua akiniahidi kunitembelea angalau nipate morali ya uwepo wake na mimi lakini ananichiti kwa kudai kakosa nafasi.
Wiki juzi kanipigia simu na kuniambia kapoteza pesa ya bosi laki 7 na yeye ndo counta, alinieleza akilia lia sana, nami bila kumungunya maneno nikampa pole na kumweleza akubali akatwe mshahara wake mpaka hio pesa ifike. Baada ya kumweleza bosi wake akampa miezi 3 hio pesa iwe imekamilika kwa kumkata mshahara wake. Sasa jana napo kaja na ishu nyingine ya kuhitaji kurudia mtihani form four ili apate grade za kusoma famasi.
Ameniomba kumtafutia matirio ili aje weekend kuyachukua na nifundishe baadhi ya vitu. Alivyonieleza hivyo nilifarijika sana moyoni kwani nilikua nikimwelza kusoma anakataa sasa amepanga kuja kwangu kukaa siku 2 ili nimulekeze vitu nami kwakua toka niwe nae kwenye mahusiano sijawahi kula tunda miezi 8 sasa hapo nageuzia gia angani anagegedwa kwanza alafu kusoma baadae.