Hapa ndipo kwenye tatizo! Yaani anabet kwenye kila kitu!! mpaka mahusiano!!Cha kwanza kabla ya yote acha kubeti ndio akili zitakukaa sawa.
View attachment 1718364
Unforgetable
Unakua kama Konde boy. Videmu vidogo vizuri vipo unakwenda kuvamia majimama yenye stress zaoCha kwanza kabla ya yote acha kubeti ndio akili zitakukaa sawa.
View attachment 1718364
Unforgetable
Kwa huu ushauri ndiyo mtampoteza kabisa huyu kamanda kwa huyo mwanamke. Kiufupi tu ni kwamba, anampenda sana huyo mwanamke! Na yuko tayari hata kulea huyo mtoto aliyetelekezwa na mwanaume mwingine.Unajua kihalali kabisa tunatakiwa kuoa binti Bikra.
Haya, hiyo bikra imekuwa ngumu tumesamehe. Bikra hana halafu ana mtoto tena 😭
Kitakachofuata sana utachukua asiye na bikra, mwenye mtoto na aliyetumiwa tigo.
Kidogo kidogo ndiko unakoelekea.
Mimk nakushauri na wewe piga mashine tu, kama vipi na wewe zalisha halafu kula kona🤣
Hakuna mke hapo.
Acha ujinga wewe... Kwani mwanamke yupo peke yake... Tafuta mwengineLakin bado nampenda kupita kiasi mkuu