Ameacha kazi, PPF vipi?

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
Wadau kuna jamaa yangu anaacha kazi this week ameamua awe busy na kilimo sasa je anaweza kupata hela zake za PPF au ndio wamezuia? Amejiunga kama mwaka mmoja uliopita
 
Ule utaratibu mpya ambao unahitaji awe amefikisha miaka 55 hapa unakuaje?
 
Hatapewa PPF ni rasmi wamesitisha na mifuko yote itafuatia ni taarifa rasmi ninazo kutola mfuko wa PPF
 
Hatapewa kaka, unless kama ana miaka 55.

Hata kama alifanya kazi kwa mwaka mmoja hatapewa.

Unless amekufa au amepata ulemavu ambao utamsababishia asifanye tena kazi.
 
HESLB, atachezea mikononi mwa hao raia
HESLB wameanza lini kulink na mifuko ya jamii kuwapata wadaiwa?....sidhani kama hyo ipo au wamaanisha nini?
Lakini nssf bado wanatoa hilo fao na mm mdogo wangu alhamisi anaenda kuchukua cheki yake.
 
PPF hatopata kitu, ni kweli wamesitisha withdraw benefits(Fao la kujitoa), ingekuwa mifuko mingine angepata, may be nao wataan,a kuzuia in the next few days!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom