Amchinja mkewe mjamzito wa miezi nane, ajisalimisha

Yani wazazi hawajui kwanini binti yao aliachana na mmewe?Na wala hawajui kwanini wamepatana?
Uzazi sio kuzaa tu na kula mahali.Pengine wangejua na kudodosa wangeshauri juu ya kurudiana ama la.Unarudiana na mtu wakati alikuwa na mashaka kuwa mimba si yake!,angesubiri azae aone mtoto kafanana na nani Kati ya mmewe na yule jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
angalau we umesema la maana!
wazazi wa miaka hii, watoto wa miaka hii, mazuri+mabaya ya utandawazi, harakati za maisha; vikundi vya upatu, starehe na ufahari wa macho (anasa za dunia: magari, pesa, simu, outs) stress za mikopo nk haviziachi salama ndoa za miaka hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa afande si mngemuuliza hiyo mimba ya nani mpate pa kuanzia, mmepatanisha mke na mume lakini mume asije kuwa hakumuucha na mimba hapo kabla.
Polisi sio.kazi Yao kupeleleza mimba.Polisi kila Siku waongea kuwa watu wajitahidi kudhibiti hasira zitawafikisha pabaya hawasikii ona sasa huyo.Umemchoka mkeo achana naye kwa amani panga na kisu Cha Nini? Ukichpkwa kidume peleka mbele. Mdudu wako.Muachane kwa amani
 
Ujinga mtupu hata Kama sio mwanawe si angemwacha tu.
Ni rahisi sana kumlaumu mtu mwingine ila jamani; Kuchapiwa ni kitu ingine, lakini kuchapiwa hadi kujazishiwa halafu huyo mwanamke awe shujaa kurudi home baada ya kutamkiwa muda mrefu kwa hilo limjamaa. Huyo mwanamke alikuwa amemdharau sana huyo jamaa.
Nikisema hivyo sio kwamba naunga mkono mauaji ila namlaumu marehemu. Alifuata nini tena huko??
 
Hivi hili la kuua na kwenda kujisalimisha polisi huwa linamsaidia nini muuwaji?

Kwamba kuna motisha yoyote anapewa kama shukrani kwa kuwasaidia polisi kuokoa kuchoma mafuta katika kufanya kazi ya upelelezi, au ni kuchanganyikiwa na ulofa wa kukosa hela ya akiba kuweza kumudu usafiri?

Kama hakuna lolote la maana analoambulia mtuhumiwa baada ya kujipeleka, basi ni upumbafu kujisalimisha badala ya kukimbia msala ukakamatiwe mbali ama saazingine 'kusevu' kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inatisha mnoo..
Kwanini walirudiana. Huenda huyu mke alikua na wanaume wengine na hiyo mimba haikua ya jamaa...
 
Hivi hili la kuua na kwenda kujisalimisha polisi huwa linamsaidia nini muuwaji?

Kwamba kuna motisha yoyote anapewa kama shukrani kwa kuwasaidia polisi kuokoa kuchoma mafuta katika kufanya kazi ya upelelezi, au ni kuchanganyikiwa na ulofa wa kukosa hela ya akiba kuweza kumudu usafiri?

Kama hakuna lolote la maana analoambulia mtuhumiwa baada ya kujipeleka, basi ni upumbafu kujisalimisha badala ya kukimbia msala ukakamatiwe mbali ama saazingine 'kusevu' kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hatua mtu anadharaulika mpaka anaamua kufanya hivo kisha ajisalimishe kutia msisitizo kile alichokifanya. Yaani alikuwa na maumivu kiasi kwamba akifanya kosa hilo kisha akafungwa bado ataendelea kuwa na amani. Hii inatokea kwa walio na inferiority complex wakiamua kuprove wrong.
 
Dah! Sipati picha tukio linavyokua maana kuku mwenyewe tu anavyofurukuta akiwa anakata roho wakati wa kuchinjwa!

Ubao umebadilika kwa sasa, "wanawake ishini kwa akili na waume zenu"
Mkuu nakazia apo saizi ni jukumu letu kuishi na wanaume kwa akili..

am better here
 
Kuna watu uvumilivu huo hawana kabisa
Ni kweli kabisa mkuu,inawezekana mwanamke alimnanga jamaa usiku huo kwa maneno makali kama vile mimba ya kwanza siyo yako hata hii niliyonayo,sasa kuna watu ni vichaa ila wanatembea kwa kuwa kimetulia. Ukikiamsha umekwisha,siku zote huwa nawasisitiza wanawake ambao ni wepesi wa kusema ovyo wawe makini na mazingira. Unakuta mwanamke anatoka anakoishi anakwenda kwa lijamaa wakigombana anaanza kuongea maneno ambayo siyo ambapo ukizuka mtafaruku hadi kupata msaada ushaumia au kupotezwa kabisa.
 
Sijawahi kufikiria kumpiga mwanamke na sitowahi, ni bora nimuache tu niangalie upande mwingine kama harekebishiki.

Meku yamemshinda suluhu kaona ni kuchinja
 
Hivi hili la kuua na kwenda kujisalimisha polisi huwa linamsaidia nini muuwaji?

Kwamba kuna motisha yoyote anapewa kama shukrani kwa kuwasaidia polisi kuokoa kuchoma mafuta katika kufanya kazi ya upelelezi, au ni kuchanganyikiwa na ulofa wa kukosa hela ya akiba kuweza kumudu usafiri?

Kama hakuna lolote la maana analoambulia mtuhumiwa baada ya kujipeleka, basi ni upumbafu kujisalimisha badala ya kukimbia msala ukakamatiwe mbali ama saazingine 'kusevu' kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo jamaa wakati anafanya hayo mauaji hakuwa yeye kabisa,sasa baada ya kutulia akili ikamrudi. Mimi nahisi kabisa jamaa ni mtu mzuri tu,ila alitibuliwa to the maximum.
 
Back
Top Bottom