The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,426
Nimeona polisi wa Uganda na wanajeshi wanavyotesa wapinzani. Wana magari ya bei mbaya na mitulinga usipime. Nimekumbuka hapa kwetu. Pesa ya kuwanunulia magari polisi wa kupiga na kuua waandamanaji inapatikana ila siyo ya kununulia ambulansi, vitabu mashuleni, kuleta maji nk.