DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Video ya mdau imeonyesha ambulance yenye mgonjwa ikisimamishwa na askari ili kupisha msafara wa kiongozi.
Serikali inayohubiri “kazi na utu” leo imejionyesha wazi haina utu wala huruma kwa wagonjwa na jamii. Kiongozi anapewa kipaumbele kuliko maisha ya raia anayepigania pumzi yake — huu ni ushahidi wa udhaifu mkubwa wa uongozi.