Mshambuliaji wa Coastal Union jana katika mpambano baina ya Coastal Union na JKT Ruvu alivunjika mguu na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa usafiri binafsi wa msamaria mwema,haya mambo mpaka lini ? jana nimeambiwa kwenye mchezo baina ya African Lyon na Kagera Sugar hakuepo hata askari mmoja,Je hii kweli ilikua sahihi ?Ambulance ni kwa michezo ya uwanja wa Taifa tu ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.